Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Status
Not open for further replies.
Kila la kheri Daudi na Florah.
 
hivi mnavoshabikia hizo sheria za kanisa kwani zilitoka mbinguni? Mungu mwenyewe alivompa Musa sheria aliweka ya kuachana hata Yesu mwenyewe aliruhusu kuachana kwa uzinzi. hizo sheria za kanisa hazina mashiko zimewekwa na watu tu.
Siwezi kamwe kuoa mke wa mtu, wanawake wamejaa kibao.

Wapuuzi kama hawa wanazidi kuongezeka hata Dr Slaa yuko kwenye kundi la wapuuzi kama huyu kung'ang'ania wake za watu.
 
itoke mfukoni kwako sasa na si kuweka kima cha kutoa kama vile ni lazima.
Kwakweli hii ya kuwekeana viwango huwa siielewi kabisa.
Kwanini watu wasifanye kile kilicho ndani ya uwezo wao!!! Kujitutumua kooote kumbe pesa za kutegemea kwa watu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Huyu jamaa Hosea hajaona wanawake kibaao wakuoa? khaaa yani unakua unajua kabisa jamaa amegegeda vya kutosha na wewe unajisevia..na upige deki kabisa? Haki ya nani tunatofautiana akili
 
Alafu wewe ulofuta futa kadi unatuharibia kadi, kwnai ulitumwa kuileta huku? na kwa taarifa yako sasa arusi itakua Mwanza kama sikosei kanisa la AIC Makongoro ndani ya weekend mojawapo ya mwezi April, we unafuta futaaaaaaaa mpyuuuuuuuu
 
From hero to zero...!!!! They used to mentor others and encouraged other people's marriages; inside and outside the church but today...very sad Ng'wanapagi!!!

Song: Jipe Moyo
Artist: Flora Mbasha ft. Emanuel Mbasha

Song: Maisha ya Ndoa
Artist: Flora Mbasha ft. Emanuel Mbasha

wameaibisha kiwango cha juu sana.
 
Siwezi kamwe kuoa mke wa mtu, wanawake wamejaa kibao.

Wapuuzi kama hawa wanazidi kuongezeka hata Dr Slaa yuko kwenye kundi la wapuuzi kama huyu kung'ang'ania wake za watu.
unazungumziaje talaka? ukimfumania mkeo utaendelea nae?
 
Plz can u try to expand/explain ur comment!! It sounds good
Ng'wanapagi, that couple; Florah and Emmanuel lived a life of many to learn from them. My last meeting with them was 2013 when they were ministering for the Lord in Arusha gospel crusade, then it came as rumour mills that they were about to break, they struggled to hide it, but it was not on their side, then I got to meet the lady in Dsm one morning somewhere where she was accompanied by another man (may be he is the one to marry the lady), and she decided to file a suit against Mbasha, now she is going to live with another man, very sad...nimeaumia as if she is my relative. I used to count the couple a heroic one but now it is totally set apart!!!
 
Huwa sielewi katika wanawake wooote hawa waliojaa na wanatafuta waume wa kuwaowa hivi mtu hajaona mwanamke wa kuishi naye mpaka uchukuwe mke wa mtu?

Karma is really.
Mkuu kwakweli ni jambo la kushangaza sana.. Yani wanawake wabichi wamejaa tele mtu anaenda kuona mtu aliyeachana na mtu wake.. Yani unaenda kufunga ndoa na mtu aliyekwishaolewaga na kuzaa watoto na kuachika..
 
Wewe ni nani unayehukumu na kutabiria watu? Mbona huongei kuhusu ndoa kibao zinazofungwa na kuvunjika within a month
naona bado unaota wewe unahesabu kuna ndoa kama hiyo tena ya kikristo inaonekana huijui misingi yake

NIKUULIZE UNAJUA MAANA YA NDOA? Frola anasimamaje katika jamii? uinjilisti unakuwa hivyo? na utaishije kwa kuangalia nani kafanya ndivyo umeambiwa? TOA UJINGA WAKO

CHUKUA NAFASI YA EMMANUEL MBASHA KAMA NI MWANAUME THEN NDO UJIBU ACHA KUSIFIA UJINGA
 
Mkuu kwakweli ni jambo la kushangaza sana.. Yani wanawake wabichi wamejaa tele mtu anaenda kuona mtu aliyeachana na mtu wake.. Yani unaenda kufunga ndoa na mtu aliyekwishaolewaga na kuzaa watoto na kuachika..
Kwani kuna sheria wamevunja? Kipendacho roho jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…