Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best approach ever hata kesho wakiwa na msafara wa kuelekea msibani waachwe tu waandamane kwenda msibani ikiwezekana wao ndo watoe hotuba badala ya mkuu wa nchiWengi tulishauri hii approach hata kabla Siro hajateuliwa kua IGP. Because overtime watu huchoka na watakosa cha kuongea, mfano leo hakuna cha kuongea kabisa
Tukubaliane kuwa approach ya Polisi ndiyo imekuwa chanzo cha matatizo. Hivi pale Ukonga gerezani wangewaacha Halima, Ester na wenzake walivyoenda kumlaki Mbowe wafanye kilichowapeleka, unadhani kungekuwa na matatizo? Lakini wakawapiga, wakawaburuta, wakawakanyaga hata wakamvunja Halima mkono. Leo walishauriwa na mtu mzima kutumia busara. Hata sasa kama watatulia, tutakuwa na uchaguzi wa amani ingawa usio huru wala wa haki. Safari hii ni zaidi ya goli la mkono. Lakini angalao basi kuwe na amani. Polisi jamani....eh!The best approach ever hata kesho wakiwa na msafara wa kuelekea msibani waachwe tu waandamane kwenda msibani ikiwezekana wao ndo watoe hotuba badala ya mkuu wa nchi
Hawa mbuzimawe hatakuelewa. Ukiangalia muanzisha uzi anajenga hoja kuwa wanaofanya fujo ni wafuasi wa chadema. Mbona leo walikuwa lukuki bila polisi lakini hata sisimizi hawakuguswa? Kwahiyo catalyst ni polisi. Mkifikiri kutowapeleka polisi kwenye msafara ni kuuanika ukorofi wa chadema, mmeonesha dunia kuwa tatizo na hao polisi wanaobeba ilani ya ccm mkono mmoja na mwingine bunduki. Kwahiyo bakini na aibu muendelee kulianika jeshi la polisi jinsi linavyotumika kisiasa, hasa siasa za ccm. Hali ikiachwa hivi, ccm inaenda kupotea mazima kwasababu hakuna atakayekwenda kusikiliza SGR Ndege na Stigler's ambayo imehubiriwa miaka 5 hadi imechosha watu. Watu wanayo shauku ya kusikia mapya juu ya unafiki na ulaghai wa ccm na jinsi ya kuondokana na hayo kuelekea ukombozi wa kweli kifikra na uhuru wa katika myoyo ya watu.Tukubaliane kuwa approach ya Polisi ndiyo imekuwa chanzo cha matatizo. Hivi pale Ukonga gerezani wangewaacha Halima, Ester na wenzake walivyoenda kumlaki Mbowe wafanye kilichowapeleka, unadhani kungekuwa na matatizo? Lakini wakawapiga, wakawaburuta, wakawakanyaga hata wakamvunja Halima mkono. Leo walishauriwa na mtu mzima kutumia busara. Hata sasa kama watatulia, tutakuwa na uchaguzi wa amani ingawa usio huru wala wa haki. Safari hii ni zaidi ya goli la mkono. Lakini angalao basi kuwe na amani. Polisi jamani....eh!
Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Shetani umeshindwa juzi ulitutisha sana ooh mtavunjwa mifupa lep lugha imebadilika??Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Jana tu jamaa kaleta mabandiko ya vitisho eti watatuvunja mifupa tukienda kumpokea. Sasa tumeenda na tumerudi salama. Naona anageuza kibao. Sijui alikuwa wapi.Umeongea upuuzi mtupu! TL ni Mtanzania mwenzetu. Alinusurika kifo ktk nchi yake ya asili. Mungu mwenye nguvu kauaibisha uovu wenu.
Sasa TL karudi hai, badala ya kuingiwa na utu mnajiachia wazi part yenu ya uhayawani iropoke kila neno uvu.
Subirini kipigo cha Mwenyezi Mungu ndio mtaelewa mwenye sauti ya mwisho hasa ni nani.
Naona umenawa Mikono. 😆😅na bado! Vile vitisho vyako juzi utadhani sio wewe yaani.The best approach ever hata kesho wakiwa na msafara wa kuelekea msibani waachwe tu waandamane kwenda msibani ikiwezekana wao ndo watoe hotuba badala ya mkuu wa nchi
CCM wakati mwingine duuu,kwani msibani kuna hotuba??Hapo ni salaam za rambirambi na sio lazima mkuu aongee....The best approach ever hata kesho wakiwa na msafara wa kuelekea msibani waachwe tu waandamane kwenda msibani ikiwezekana wao ndo watoe hotuba badala ya mkuu wa nchi
Leo unahangaika sana, wewe ndiye uliyesema akifika tu atakamatwa, saa hizi unasema nini tena.Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Unaundugu na pepo mchafu?Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Ndani ya serikali kuna watu wamesoma na wanajua kusoma alama za nyakati. Mara nyingi serikali kwa kutumia polisi ndio inayosababisha vurugu kutokea. Leo ilikuwa hakuna namna yoyote ya kufanya figisu figisu. Mzee baba ameliona hilo na hakukuwa na namna zaidi ya kukubali matokeo, hata ukiangalia sura yake leo utajua kutofautisha kati ya hasira na majonzi.Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Wewe si ndiye ulikuwa unashabikia Chadema wapigwe mpaka wachakae pindi wakienda kumpokea Lissu? Watu sampuli yenu ndiyo mnasababisha watu waichukie Serikali na CCM,Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno