Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jinga la lumumba si ndio ulikuja na uzi hapa eti upo viunga vya airport hakuna mtu hata mmoja..Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Hivi unajua maana ya polis? Huyu aliyetaka kuharibu taswira ya polis amejiharibu yeye zaidiHiki ndicho wengi tulikuwa tuna kitaka. Polisi wakijiweka kando katika shughuli za kisiasa na kijamii huwa hakuna vurugu wala madhara mpaka pale wao wanapofika na mabomu yao, virungu na bunduki kuanza kutumia nguvu kwenye dhughuli zisizo kuwa na vurugu
Tuacheni ushabiki mkuu.Busara, au walizidiwa na kushangazwa na umati ule?!
KinyongaAngalizo.
Kuna mfano hai wa mtu aliyewahi kushabikiwa na watu hapa Tz. Askari wakawa wanazuia hata jambo dogo kama kubebwa kwake, Nyerere akaagiza askari waachane naye wafanye watakavyo ila wasivunje sheria.
Hakubebwa tena na umaarufu ukakata.
Askari wakiendelea na approach hii CDM na Lisu umaarufu wao utakufa natural death.
Nahisi hivyo.
Unadhani nguvu ya unaoita uma ingefanyaje kama wangeamua isiingie airport??Mbadala tusifie Nguvu ya UMMA nnawasifia vegetable police
Mhh sio kweli.Tusijidanganye,hawa majamaa waliona kuna viongozi wa kimataifa kwa ajili ya huu msiba wakaona heri wasifanye vurugu ikaleta picha mbaya
Jana hukuona kulikuwa na wana ccm tena makofia hawakuvuliwa ila waliovaa Sofia za kawaida walivuliwa acheni double standard na hayo ndo yanayoleta chuki kwenye jamiiUnadhani nguvu ya unaoita uma ingefanyaje kama wangeamua isiingie airport??
Nendeni mnaandamana naye mpaka taifa na matishirt yenu,mkifika getini mseme mnaenda kuaga marehem,halafu mlete mrejesho wa nguvu ya uma.
Unaongelea mabeberu hawa wa ccm??Walitegemea atakamatwa ili watengeneze tamthilia ya kuhalalisha maneno
Yaliyotokea leo ni pigo kubwa kwa Mabeberu mawakala wao
Serikali iwaache hawa mawakala kwa miezi hii mitatu wajimwage ikiwezekana wawe wanaandamana kila siku
Isiwaguse wala kuwabughuzi kwa lolote lile mpaka uchaguzi utakapoisha nina uhakika watatoa ushindani lakini hawatashinda
Mambo yaanze mapema baada ya uchaguzi kupita sasa kesi zianze kurindima
Hili ni pigo takatifu kwa Mabeberu na mawakala wao hawajaamini kilichotokea they are speechless, wamepigwa mapigo matakatifu
Ndo najiandaa kwenda kumuaga Baba mdogo wa TaifaUnadhani nguvu ya unaoita uma ingefanyaje kama wangeamua isiingie airport??
Nendeni mnaandamana naye mpaka taifa na matishirt yenu,mkifika getini mseme mnaenda kuaga marehem,halafu mlete mrejesho wa nguvu ya uma.
Wewe kaa ukiangalia chuki,vaa kofia yako ukifika pale goma kuvua.Jana hukuona kulikuwa na wana ccm tena makofia hawakuvuliwa ila waliovaa Sofia za kawaida walivuliwa acheni double standard na hayo ndo yanayoleta chuki kwenye jamii
Acha vitisho Watatuvua wote maana hatuji wail tunakuja kama Jana ulivyotuona kwenye mapokezi na tutajaza uwanjaWewe kaa ukiangalia chuki,vaa kofia yako ukifika pale goma kuvua.
Mnakujaje wakati wanasiasa waalikwa wanakuja na mabasi maalum[emoji1][emoji1]Acha vitisho Watatuvua wote maana hatuji wail tunakuja kama Jana ulivyotuona kwenye mapokezi na tutajaza uwanja
Kuanzia mlangoniMnakujaje wakati wanasiasa waalikwa wanakuja na mabasi maalum[emoji1][emoji1]
Mnakutania wapi mwende mkiandamana???
Hili ndio tatizo kubwa!RIP bashite
Kwa mara ya kwanza hata mimi nalipongeza jeshi la polisi hapa wametumia hekima na busara, hakuna mshindi Tanzania ni yetu sote.Asubuhi nilitoa mada yenye kichwa "Tunasubiri kuona busara ya jeshi la polisi wakati wa kurejea kwa Lissu"
Niseme wazi kwa mara ya kwanza jeshi la polisi limetumia busara kubwa kutozuia na kuingilia mapokezi ya Tundu Lissu.
Hiki ndicho wengi tulikuwa tuna kitaka. Polisi wakijiweka kando katika shughuli za kisiasa na kijamii huwa hakuna vurugu wala madhara mpaka pale wao wanapofika na mabomu yao, virungu na bunduki kuanza kutumia nguvu kwenye dhughuli zisizo kuwa na vurugu.
Kwakweli kuna haja ya jeshi kuendelea na utamaduni huu. Waacheni watu wafanye shughuli zao za kulia na kucheka bila kuwaingilia kwa kisingizio cha mikusanyiko.
Kwa muda mrefu polisi na CDM wamekuwa kama wake wenza wanao gombea mume kila siku vitisho na ugomvi Polisi wakiwa ndio chanzo. Polisi kwa leo mmeonesha busara kwa mara ya kwanza.
Namsifu pia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam kwa busara kubwa aliyoionesha kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa. Ingekuwa ni yule bwana masifuri leo ingekuwa ni vilio na kusaga meno. Well done!
Pole.Hapa wa kupongezwa ni Rais Magufuli majuzi aliwambia Polisi wasitumie nguvu hovyo hovyo na wananchi msiwachokoze askari. Hongera Rais.