Hongera sana JOTI

Hongera sana JOTI

sure mkuu hata nywele angeweka style ya heshima

Duhh! Aisee kweli, hata mimi nime overlook hilo. Lakini katika hali ya kawaida, kama asingua Joti, bali ni mtu mwengine ndio ameenda ukweni kwa staili hiyo unyoaji, mi nadhani angefurumushwa! But, Mhhhhh! mmhhhhh! Mhhhhh!
 
Kwa hiyo mnampa hongera ya kumvalisha Pete na kuendelea kuzini?
 
ma professor wenzako wako busy na vitabu we kwenye udaku wafata nini

ImageUploadedByJamiiForums1422968345.936894.jpg
Huyo sio prof wa qualification
 
Kuoa inabidi ufikirie kabla ya kufanya maamuzi manaake wanawake ndani ya nyumba wanaongea kuanzia asubuhi mpaka jioni, they don't know how to shut up hata kama unataka kuangalia mechi muhimu ya football, ukisema ukae na PC yako kuangalia nini kinaendelea kwenye JF anasema unamuignore, sasa basi ukiamua kunywa bia zako ndio kabiiisa atakwambia we kazi yako kulewa tu. Basi tabu tupu.

Aisee pole sana,walahu umetoa dukuduku lako
 
Na Harusi ni kesho Jumamosi... Kweli JF ni chimbo la mainfo..
 
Back
Top Bottom