miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sure mkuu hata nywele angeweka style ya heshima
Ingekua poa kama Joti ndio angekua kapiga goti
and he is asking the lady to marry her... anyway Hongera kwao
proffesor anasema... kwann apige goti.. .??
Professor wa vichochoroni.......
proffesor anasemaa...binti ntake radhi..
ma professor wenzako wako busy na vitabu we kwenye udaku wafata nini
Joti ndio angepiga magoti
Kwa hiyo mnampa hongera ya kumvalisha Pete na kuendelea kuzini?
proffesor anasema.... Bint sio kila wakat n muda wa kusoma... Maisha ya ma prof hayako hivyo.
maisha yao yakoje......
Kuoa inabidi ufikirie kabla ya kufanya maamuzi manaake wanawake ndani ya nyumba wanaongea kuanzia asubuhi mpaka jioni, they don't know how to shut up hata kama unataka kuangalia mechi muhimu ya football, ukisema ukae na PC yako kuangalia nini kinaendelea kwenye JF anasema unamuignore, sasa basi ukiamua kunywa bia zako ndio kabiiisa atakwambia we kazi yako kulewa tu. Basi tabu tupu.
Huyo mwanamke kafanana na zari.
Ingekua poa kama Joti ndio angekua kapiga goti
and he is asking the lady to marry her... anyway Hongera kwao