Hongera sana kaka, maneno ya watu yasikuyumbishe katika hili

Tunaelewana kweli.? Inamaana anapozaa ndio wanampaka hiyo rangi asifanane na rangi ya wazazi
anapakwa akiwa tumboni.......but kumbuka kwenye reproduction sio kila kitu utachukua kwa wazaz wako wawili tu......kuna kitu kinaitwa inherited genes.........yani kuna baadhi ya vitu yawezekana unarithi toka kwa mababu zako wa nyuma sanaaaa wa miaka hyooo zamani huko [emoji16][emoji16]
 
Endelea KUMTIA UJINGA Huyo JAMAA,,,huyo MTOTO akipata AKILI atatafuta BABA YAKE HALISI yupo wp....hawezi kukubali UPUUZI HUO
 
huko Bukoba kuna jamaa kachinja mapacha kwa ajili ya utani km huu
 
Mkuu unachokisema hakina uhalisia kabisa hapo. Hizo genes gani kutoka kwa babu.? Iangalie pic vizuri tena
 
Endelea KUMTIA UJINGA Huyo JAMAA,,,huyo MTOTO akipata AKILI atatafuta BABA YAKE HALISI yupo wp....hawezi kukubali UPUUZI HUO
we si unaona wazee wenyewe wametulia kabisa yn
 
huko Bukoba kuna jamaa kachinja mapacha kwa ajili ya utani km huu
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa utani gn hapo wakt mtu kapata ujauzito kaingia kabisa labour
 
Back
Top Bottom