mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
inaonyesha binadamu wote babu yetu ni adam na bibi yetu ni eva.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anapakwa akiwa tumboni.......but kumbuka kwenye reproduction sio kila kitu utachukua kwa wazaz wako wawili tu......kuna kitu kinaitwa inherited genes.........yani kuna baadhi ya vitu yawezekana unarithi toka kwa mababu zako wa nyuma sanaaaa wa miaka hyooo zamani huko [emoji16][emoji16]Tunaelewana kweli.? Inamaana anapozaa ndio wanampaka hiyo rangi asifanane na rangi ya wazazi
Mkuu unachokisema hakina uhalisia kabisa hapo. Hizo genes gani kutoka kwa babu.? Iangalie pic vizuri tenaanapakwa akiwa tumboni.......but kumbuka kwenye reproduction sio kila kitu utachukua kwa wazaz wako wawili tu......kuna kitu kinaitwa inherited genes.........yani kuna baadhi ya vitu yawezekana unarithi toka kwa mababu zako wa nyuma sanaaaa wa miaka hyooo zamani huko [emoji16][emoji16]
mtoto alelewe vizuri atakua genius[emoji23][emoji23]
Kuna mtu hapo atanipeleka jela na yeye atapumzika kwa amanisasa unaendaje jela....hebu fafanua