Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni mme wake huyo....we ndo unajaribu kumtenganisha na familia yake kwa maneno yako
sasa huyo mwanamke ndo mpuuzi wa kiwango cha juu sana aisee.........sasa ni afadhar angeondoka na mwanae kuliko kuwaachia wenzake aibu isiyo wahusu..Kama hii niliikuta Kawe jamaa kaachiwa kitoto Cha kihindi ke kaondoka kuanza maisha yake, nilivyosina kaba ikabidi niulize huyu Mtoto vipi humu ndani? Nikapewa kisa kizima na Bibi wa mtoto ati mama alivyokuwa mjamzito alimpenda sana boss wake wa kihindi hivyo alikuwa akimchagua chawa mara kwa mara, kuzaa kitoto kimetoka cha kihindi nilochojibu ni sawa maana hakuna jinsi Bibi na mwanae wamekubali huo uongo mpita njia nitaongeza Nini tena? Halafu ati ke kawasusia yeye kaondoka Kama sio kakimbia aibu ni Nini?
Wapuuzi hao walioaminishwa kwamba mimba ikimpenda mtu anamzaa, yeye kawadanganya wamekubali sasa amchukue ampeleke wapi tena mkuu? Maana huyo Mtoto ndie aliyesababisha mama kukimbia nyumba Mtoto akikua akajiona yupo tofauti ndio ataanza kutafuta baba yake wa kweli atam bana mama hadi atasema ukwelisasa huyo mwanamke ndo mpuuzi wa kiwango cha juu sana aisee.........sasa ni afadhar angeondoka na mwanae kuliko kuwaachia wenzake aibu isiyo wahusu..
Dunia haishi vituko bora ulikaa kimya lakin[emoji23]
Hahaaa. Kabisaaaa.Hahah!! Nikweli sura ya baba imeshamiri furaha kubwa sana siri yao wanaijua wenyewe...
Ngoja nikumbuke O-level Biology.Hahahaha
Hii inawezekana kweli kisayansi?