Hongera sana kaka, maneno ya watu yasikuyumbishe katika hili

Hongera sana kaka, maneno ya watu yasikuyumbishe katika hili

Lakini labda sio mumewe inaweza kua ni kaka yake tu kaja kumtizama dada yake kajifungua
ni mme wake huyo....we ndo unajaribu kumtenganisha na familia yake kwa maneno yako
 
Kama hii niliikuta Kawe jamaa kaachiwa kitoto Cha kihindi ke kaondoka kuanza maisha yake, nilivyosina kaba ikabidi niulize huyu Mtoto vipi humu ndani? Nikapewa kisa kizima na Bibi wa mtoto ati mama alivyokuwa mjamzito alimpenda sana boss wake wa kihindi hivyo alikuwa akimchagua chawa mara kwa mara, kuzaa kitoto kimetoka cha kihindi nilichojibu ni sawa maana hakuna jinsi Bibi na mwanae wamekubali huo uongo mpita njia nitaongeza nini tena? Halafu ati ke kawasusia yeye kaondoka kama sio kakimbia aibu ni Nini?
 
Kama hii niliikuta Kawe jamaa kaachiwa kitoto Cha kihindi ke kaondoka kuanza maisha yake, nilivyosina kaba ikabidi niulize huyu Mtoto vipi humu ndani? Nikapewa kisa kizima na Bibi wa mtoto ati mama alivyokuwa mjamzito alimpenda sana boss wake wa kihindi hivyo alikuwa akimchagua chawa mara kwa mara, kuzaa kitoto kimetoka cha kihindi nilochojibu ni sawa maana hakuna jinsi Bibi na mwanae wamekubali huo uongo mpita njia nitaongeza Nini tena? Halafu ati ke kawasusia yeye kaondoka Kama sio kakimbia aibu ni Nini?
sasa huyo mwanamke ndo mpuuzi wa kiwango cha juu sana aisee.........sasa ni afadhar angeondoka na mwanae kuliko kuwaachia wenzake aibu isiyo wahusu..

Dunia haishi vituko bora ulikaa kimya lakin[emoji23]
 
Naona mama mtoto ana presha iliyochanganyika na hofu, kulikoni?
Baba naye hafurahii huyo mgeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yani leo nimekua ni mkosefu tu
tatzo umepanic sana juu ya hili[emoji23][emoji23] labda babu zake mwanaume wa vizaz vya nyuma walikua wazungu!!?? who know
 
sasa huyo mwanamke ndo mpuuzi wa kiwango cha juu sana aisee.........sasa ni afadhar angeondoka na mwanae kuliko kuwaachia wenzake aibu isiyo wahusu..

Dunia haishi vituko bora ulikaa kimya lakin[emoji23]
Wapuuzi hao walioaminishwa kwamba mimba ikimpenda mtu anamzaa, yeye kawadanganya wamekubali sasa amchukue ampeleke wapi tena mkuu? Maana huyo Mtoto ndie aliyesababisha mama kukimbia nyumba Mtoto akikua akajiona yupo tofauti ndio ataanza kutafuta baba yake wa kweli atam bana mama hadi atasema ukweli
 
Naona mama mtoto ana presha iliyochanganyika na hofu, kulikoni?
Baba naye hafurahii huyo mgeni
Angalia vzur....huoni sura za bashasha kabisa hzo....!!?[emoji5]
 
Hayo ndiyo madhara ya safari za nje ndio maana jamaa alkata kwenda nje hovyohovyo nadhan wanaume tutamuunga mkono baada ya matokeo Kama haya
 
Hahahaha
Hii inawezekana kweli kisayansi?
Ngoja nikumbuke O-level Biology.
Mzungu x mweusi=chotara
Chotara ana genes nyeusi na nyeupe.
Chotara x chotara=mweusi,chotara au mzungu
Mweusi huyu ana genes za uzungu pia
Mzungu huyu ana genes za weusi pia.
Sasa mchukue huyu mweusi mwenye genes za mzungu akichanganya na mweusi mwingine mwenye genes za mzungu kuna possibility ya weusi hawa kuzaa mzungu.

Nina rafiki yangu baba yake mweusi, mama yake chotara. Kwao walizaliwa watatu dada yake chotara,kaka yake(rip) chotara yeye mweusi kuliko mimi na ni photocopy ya baba yake.
 
Katika hali kamahii sisi wanaume huwa hatuna shida sema nduguzetu sasa, yani dada shangazi nakina mamdogo ndio patachimbika.
 
Back
Top Bottom