Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

huyu dogo amunike aliposema kuwa feisal anafaa kuwa barca, mlimuona mwehu,
Nadhani sasa mnaona namna anavyozidi kupepea, lile li lwanga lilikuwa limefichwa likawa linacheza rafu tu.. Mpaka wakalipa kadi liende nje.

Ila wacongo huwa wanatoa wapi style za kushangilia? Ni tamu sana yaani kama ile ya mayele, na yule beleke wa mazembe aliyewatundika wake zetu kimoko.. Kama sisi.
 
Hata kabla hajaumia, kumzuia fei ilikua lazima umchezee rafu tu! Anaupiga Mwingi Sana! Fei kuchezea soka bongo basi tu viwango vyake ni vya kimataifa!
Amunike aliongea ukweli kwa Fei Toto kwamba dogo ni wa kuchezea Barcelona, bongo bahati mbaya tu.
 
Back
Top Bottom