smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,583
- 12,251
watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana.
Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali.
niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm kukitawala kwa vitisho, mabavu na hila ni sisi millennials. huko mbeleni ccm itapata wakati mgumu sana kuwatala genz. taa nyekundu imeshawaka, watateka na kuua vijana wengi ila haitasaidia kupoza hasira ya wananchi, sanasana itazidi kupalilia chuki kwa watawala.
eneo lingine ambalo mange kafanikiwa katika kampeni yake ya maandamano, ni kutojitokeza kwa wapiga kura kwenye maeneo ya kumpigia kura. mpaka mda huu kwenye kata yangu, nimezunguka vituo kadhaa, sijaona wapiga kura zaidi ya kukutana na maafisa uchaguzi, polisi na migambo tu.
wananchi wamegoma kwenda kupiga kura, hilo ni pigo kubwa kwa samia na ccm yake japo nafahamu TISS watamsaidia kumjazia kura hewa ili tu ionekane kapita kwa kishindo.
kwenye hili la watu kugoma kwenda kupiga kura, mange kafanikiwa sana. her mission is accomplished.