S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,689
- 7,145
Na sasa baada ya uchaguzi huu, serikali ya ccm ijipange kukabiliana naye maana sasa jina lake litakuwa kubwa maradufu na kila atacho kuwa anakisema kitapewa attention. Kawatoa mafichoni hawa Gen Z na sasa wanakiwasha... Itakuwa vurugu tupu huko mbele ya safari, na kwa hali hii, yule baba wakimuachia tu, kitanuka kweli.Mange amesaidia sana kusukuma agenda kwa makundi ya vijana ambalo wengi wao wanatumia mitandao ya kijamii kama insta, TikTok na fb.
Ni vema huu uchaguzi ufutwe, wapinzania waachiliwe , nchi ipate maridhiano, katiba mpya, tume huru, na tusonge mbele, vinginevyo italuwa ni kuviziana tu...