Hongera sana Mange, Mission yako imefanikiwa. Pokea maua yako

Tanzania ni YETU sote..Tume ya Maridhiano na Upatanishi ya UKWELI iunde kama Mh Rais alivyoahidi na ifanye kazi yake kwa haki na weledi,huku ikimtanguliza Mama Tanzania MBELE
 
Watu wanazidi kuongezeka kupiga kura, muda bado upo mwingi tu
 
Tanzania ni YETU sote..Tume ya Maridhiano na Upatanishi ya UKWELI iunde kama Mh Rais alivyoahidi na ifanye kazi yake kwa haki na weledi,huku ikimtanguliza Mama Tanzania MBELE
Hiyo tume ni zuga tu. Anamaliza muda wake anahaidi tume, kama alikuwa na nia ya dhati tume ingekuwepo before election. Since yeye anaondoka wanaobaki hawatakubali abadilishe mfumo. Refer Kikwete na katiba mpya.
 
Kwa kweli, kwa sehemu zote nilizopita binafsi wasimamizi ni wengi, sikuona hata mstari mmoja.

Boycott ya nguvu sana hii💪💪💪
Nilijua ni huku kwetu tu yaani wasimamiz na askari wengi watu hakuna had mjumbe kaja kutugongea 😂😂😂
 
Nilijua ni huku kwetu tu yaani wasimamiz na askari wengi watu hakuna had mjumbe kaja kutugongea 😂😂😂
Hilo ni somo zuri kwa watawala, hilo tu linatosha kuwafundisha!!😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…