GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nzuri sana Boss wangu. Hujambo lakini?Mkuu Gentamycine habari za siku nyingi kiongozi wangu [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri sana Boss wangu. Hujambo lakini?Mkuu Gentamycine habari za siku nyingi kiongozi wangu [emoji120]
Maxence Melo huu ujumbe usomwe kwa utulivu na bila miwani.Jukwaa la wakubwa lirudishwe
Yah hapo ndipo atakuwa ametufurahisha wadauJukwaa la wakubwa lirudishwe
Nashukuru na Asante tupo pamoja sana.Mm sijambo ulipotea sana humu jamvini nilimiss madini yako
Hao ambao hutaki wajue nao wamo humu pia.Wekeni utaratibu tufanyie wapi shukrani napongezi kwahyu MTU ,iwe lini ,kikubwa tujipange mana wakijua tutasombwa wote ili tukatajane kwa also known as ...hahahaaa
Awamu hii si ya Roho Mbaya kama mliyoizoea bali ni Awamu ya Mtu ( Kiongozi ) mwenye Utu, Hekima, Busara, Ustaarabu na Hofu ya Mungu hivyo hakuna baya lolote atakalofanyiwa JF Founder Maxence Melo wala Sisi JF Members.Wekeni utaratibu tufanyie wapi shukrani napongezi kwahyu MTU ,iwe lini ,kikubwa tujipange mana wakijua tutasombwa wote ili tukatajane kwa also known as ...hahahaaa
Na ndiyo Wachangiaji wakubwa mno JF.Hao ambao hutaki wajue nao wamo humu pia.
😀 😀
Bonge LA party itakua mana ,simba watakuepo ,nyumbu ,swala ,mbuzi mawe ,fisi ,sungura(chawote na chawageni) ,maji yatakuepo .......nimetaja swala mnyama nimekumbuka baiskeli zetu ziliitwa swalaHao ambao hutaki wajue nao wamo humu pia.
😀 😀
Umesahau malkia mwenye sauti pangoni lazima utoke ,baba yetu hakukosea kumlea mama yetu ,anakuambia wanaume hawana shida wakitoka kutembeatembea akirudi analala hanashida....Mwaka huu melo tusimwache tumpe zawadi ya PARTy kubwaAwamu hii si ya Roho Mbaya kama mliyoizoea bali ni Awamu ya Mtu ( Kiongozi ) mwenye Utu, Hekima, Busara, Ustaarabu na Hofu ya Mungu hivyo hakuna baya lolote atakalofanyiwa JF Founder Maxence Melo wala Sisi JF Members.
Na Baiskeli Phoenix mkuu zilikuwepo enzi hizo,bila kuzisahau na Avon.Bonge LA party itakua mana ,simba watakuepo ,nyumbu ,swala ,mbuzi mawe ,fisi ,sungura(chawote na chawageni) ,maji yatakuepo .......nimetaja swala mnyama nimekumbuka baiskeli zetu ziliitwa swala
Mwl kwaheriNa Baiskeli Phoenix mkuu zilikuwepo enzi hizo,bila kuzisahau na Avon.
Shukran Kamarada. Salamu nazipata sana tu ndugu yangu. Mambo mengi najifunza kutoka kwenu wabobezi msiopenda kujionesha. Mengine humu humu.Asante sana Comrade ( Kamarada ) Interest nami pia nimefurahi Kukuona hapa na naamini Salamu zangu kwa Kamarada ( Comrade ) Mwenzetu wa Kinyankole umezipata kwani huwa nawasiliana nae mno na Kukuulizia sana.
Una IQ Kubwa, Umeiva na Mjenga Hoja.
Nimecheka sana tu Kamarada Interest.Shukran Kamarada. Salamu nazipata sana tu ndugu yangu. Mambo mengi najifunza kutoka kwenu wabobezi msiopenda kujionesha. Mengine humu humu.
Sijui ni lini utaamua kwa dhati kumwaga mchele kwenye kuku wengi wafaidike Kamarada.Nimecheka sana tu Kamarada Interest.