Hongera sana Maxence Melo

Hongera sana Maxence Melo

Mkuu melo za asubuhi!
Screenshot_20210519-083609.png
 
Wekeni utaratibu tufanyie wapi shukrani napongezi kwahyu MTU ,iwe lini ,kikubwa tujipange mana wakijua tutasombwa wote ili tukatajane kwa also known as ...hahahaaa
 
Wekeni utaratibu tufanyie wapi shukrani napongezi kwahyu MTU ,iwe lini ,kikubwa tujipange mana wakijua tutasombwa wote ili tukatajane kwa also known as ...hahahaaa
Awamu hii si ya Roho Mbaya kama mliyoizoea bali ni Awamu ya Mtu ( Kiongozi ) mwenye Utu, Hekima, Busara, Ustaarabu na Hofu ya Mungu hivyo hakuna baya lolote atakalofanyiwa JF Founder Maxence Melo wala Sisi JF Members.
 
Umesahau malkia mwenye sauti pangoni lazima utoke ,baba yetu hakukosea kumlea mama yetu ,anakuambia wanaume hawana shida wakitoka kutembeatembea akirudi analala hanashida....Mwaka huu melo tusimwache tumpe zawadi ya PARTy kubwa
 
Bonge LA party itakua mana ,simba watakuepo ,nyumbu ,swala ,mbuzi mawe ,fisi ,sungura(chawote na chawageni) ,maji yatakuepo .......nimetaja swala mnyama nimekumbuka baiskeli zetu ziliitwa swala
Na Baiskeli Phoenix mkuu zilikuwepo enzi hizo,bila kuzisahau na Avon.
 
Asante sana Comrade ( Kamarada ) Interest nami pia nimefurahi Kukuona hapa na naamini Salamu zangu kwa Kamarada ( Comrade ) Mwenzetu wa Kinyankole umezipata kwani huwa nawasiliana nae mno na Kukuulizia sana.

Una IQ Kubwa, Umeiva na Mjenga Hoja.
Shukran Kamarada. Salamu nazipata sana tu ndugu yangu. Mambo mengi najifunza kutoka kwenu wabobezi msiopenda kujionesha. Mengine humu humu.
 
Back
Top Bottom