Mungu Atamfikisha mbaliSana tu huyu jamaa aisee na wa malumbano ya hoja waige mfano wa Kibwana Dachi ktk kuendesha kipindi ITV
Datchi ni mmoja wa watangazaji waongo sanaSema huyajui anayasema.Jamaa ni Mzuri sana.Sio kwamba amebobea ila anajitahidi sana kuelezea jambo kwa mfano hai.
uongo wake uko wapi?Datchi ni mmoja wa watangazaji ni waongo sana
Ukiona mtu anasifiwa humu, ujue ni lichadema.Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.
Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.
Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.
Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.
Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Unatoa Uzi kwa Id moja unakuja kuutetea kwa [emoji723] nyingine..
Hii ni JAMII FORUMS ukiona hivyo ujue jamii yote ni CHADEMA..Ukiona mtu anasifiwa humu, ujue ni lichadema.
Wewe utakuwa humsikilizi maana usingeli niuliza swala hili...uongo wake uko wapi?
Kabisa mkambala yupo kama mtoto Kuchekacheka tuJamaa Kibwana Dachi ndiyo anawabeba ktk kipindi cha Morning magic
Huyu jamaa namwelewa kweli kweliKibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.