Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Jamaa yupo vizuri, siku asipokuwepo kipindi kinadorora ile mbaya. akina mkambala, mary na oresti bado sana
 
Jamaa Kibwana Dachi ndiyo anawabeba ktk kipindi cha Morning magic
 
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.

Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.

Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.

Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.

Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Ukiona mtu anasifiwa humu, ujue ni lichadema.
 
Ili mtangazaji awe professional, ni lazima awe neutral. Kama kaliweza hilo, hongera kwake
 
Kawau pia anajua mengi sana na ni muongozaji mzuri wa kipindi. Saa nyingine anachokoza mada na anajifanya kama hajui lakini huwa anafanya hivyo kwa faida ya wasikilizaji. OK yuko vzr sio siri
 
Ngoja nichangie kidogo
Dachi ni kweli yupo fair

Ila orest kawau ni CHADEMA kwisha kazi
Kila siku kwenye kupaka rangi ni lazima haipambe pambe chadema hivi na kuipaka paka rangi ,

aliyesema orest ni bavicha ajakosea kabisa,
Mimi mwenyewe ndio hisia zangu kwa sababu huyu jamaa ni mchaga, kaona bora akisemee chama chake kupitia morning magic,sijui kama wenzake wanalitambua hilo.
 
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.

Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.

Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.

Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.

Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Huyu jamaa namwelewa kweli kweli
 
Back
Top Bottom