Kanachekacheka kama kashoga fulani hvKabisa mkambala yupo kama mtoto Kuchekacheka tu
HahahaKanachekacheka kama kashoga fulani hv
Weka picha basiKibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.
Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.
Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.
Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.
Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Ni kweli kabisa.kila redio na ubora wakeKwakweli uchambuzi wa magazeti wamewafunika clouds fm ,yaani kina kipanya na pj wanarukaruka tu ,uoga umewajaa, ila 360 kwenye magazeti na stori za town nawapa big up
Efm sijawafuatilia vizuri uchambuzi wao wa magazeti ila naona wa kawaida tu
Ana uzoefu kiumri lakini anasoma sanaaka google,kwanza jamaa anaonyesha anasoma na kujua vitu vingi sana,anakumbukumbu za hari ya juu sana,huwa namkubali sana,hakuna kitu asichokijua hasa kuhusu nchi hii,na huwa anajibu kwa usahihi
Kwa kumsifia huku lazima atakuwa amekosha mioyo ya nyumbu ![emoji13] [emoji13] [emoji13]Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.
Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.
Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.
Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.
Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
98.7Magic fm Morogoro inapatikana kwa frequecy zipi?
Kweli Kibwana Dachi ni mtangazaji mahiri anajua anachoongea kwa usahihi japo sauti yake huwa chin sijui ni ile mic anayoongelea,ila tatizo ni akina kawau na team yake kuingilia kati kumkatisha pale anapoongea hiyo usababisha nichukie sana kukosa point ya Dachi.Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.