Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Kwakweli uchambuzi wa magazeti wamewafunika clouds fm ,yaani kina kipanya na pj wanarukaruka tu ,uoga umewajaa, ila 360 kwenye magazeti na stori za town nawapa big up

Efm sijawafuatilia vizuri uchambuzi wao wa magazeti ila naona wa kawaida tu
 
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.

Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.

Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.

Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.

Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Weka picha basi
 
Ni kweli kabisa.kila redio na ubora wake
 
aka google,kwanza jamaa anaonyesha anasoma na kujua vitu vingi sana,anakumbukumbu za hari ya juu sana,huwa namkubali sana,hakuna kitu asichokijua hasa kuhusu nchi hii,na huwa anajibu kwa usahihi
Ana uzoefu kiumri lakini anasoma sana
 
Uyu jamaa ni mmoja ya wachambuzi wazuri kabisa. Naweza sema anafanya kipindi kiwe kizuri.
 
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.

Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.

Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.

Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.

Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Kwa kumsifia huku lazima atakuwa amekosha mioyo ya nyumbu ![emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
nyuki mzee.jpg
Duh mna moyo kuna watu bado wanasikiliza Redio za hawa wahenga! Aliyewaroga ni huyu mzee wa sumbawanga.mnalogana sana mpaka frequency zinamchanganya kwenye kazi zake!!! Fundi mitambo wa TBC wahenga
 
Kwa Ujumla kipindi chao hawa Jamaaa wamejipanga sana.

Wako vizuri na wamejitahidi kujiweka katika kila idara katika jamii. Japo Kibwana Dachi ndo muhariri wa kipindi.
 
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Kitu kikubwa ambacho anacho huyu mtangazaji na mchambuzi ni kumbukumbu ya matukio mengi ya nchi na kuyaelezea bila kuegemea upande wowote.

Ingawaje baba yake alikuwa Ofisa mwandamizi wa Jeshi la Magereza na CCM ndani lakini mara zote Kibwana Dachi amekuwa Neutral Katika kazi yake siku zote.

Kama ni kuisema Serikali mahali ilipokesea anasema na kama ni upinzani atasema tu.

Hi sifa ni watangazaji na waandishi wa habari ni wachache sana wenye nayo wengi wao wanaonyesha upande wazi wazi kabisa.

Hongera sana Kibwana Dachi kwa kazi nzuri hasa ktk kipindi cha Morning Magic cha Redio Magic kinachorushwa Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:30 asb hadi saa 4 asb anapokuwa anachambua habari mbalimbali.
Kweli Kibwana Dachi ni mtangazaji mahiri anajua anachoongea kwa usahihi japo sauti yake huwa chin sijui ni ile mic anayoongelea,ila tatizo ni akina kawau na team yake kuingilia kati kumkatisha pale anapoongea hiyo usababisha nichukie sana kukosa point ya Dachi.

Ombi langu naombeni sana Kawau na team yako mwacheni Kibwana Dachi atoe maelezo ya kina pale anapotoa ufafanuzi wa jambo fulan,msipende kumkatishakatisha anapoteza point.

Nitaanza kuwasikiza kesho km mtamkatiza tena wana JF mashahidi
 
Back
Top Bottom