Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Jamaa nampenda ni mkweli ktk uchambuzi wake na haonyeshi kuwa yuko upande fulani kama Kawau anaonyesha ni Chadema,Mary Edward neutral na Mkambala CCM
 
Kwa Ujumla kipindi chao hawa Jamaaa wamejipanga sana.

Wako vizuri na wamejitahidi kujiweka katika kila idara katika jamii. Japo Kibwana Dachi ndo muhariri wa kipindi.
Jamaa wamejipanga sana hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…