Huo mtindo wa kuulizwa kinjine na kujibu kingine, kama ni media za nje inaweza kutokea disaster ya kuaibishwa mpaka nchi ikatoa siku moja ya maombolezo kabisa na kazi watu wasiende.Mkwepa maswali yetu kinehe. Akiulizwa hivi anajibu vile mi naona kama anatuchanganya tu.
Utawalaumu bure tu waandishi, Tido Mhando mwenyewe anazijuwa gharama za kusimama katika kweli.ile press conference cjaona maana yake yani waandishi asilimia 99% wameuliza maswal mepesi na maswal magum yaliyoulizwa kama yale ya jamaa wa BBC na Pasco yamejibiwa kiujanjaujanja tu, mtu anatoa majibu ambayo yako out of the question, that conference was meaningless and a wastage of time.
Nilitaka kushangaa maana pasco ni mlamba viatu vya wakubwa, leo kawaje tenaSiyo yeye...
Kuna Pasco na Paschal Mayalla, ni watu wawili tofauti...
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Dah! Hìi kali!Huo mtindo wa kuulizwa kinjine na kujibu kingine, kama ni media za nje inaweza kutokea disaster ya kuaibishwa mpaka nchi ikatoa siku moja ya maombolezo kabisa na kazi watu wasiende.
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Hilo mkuu ni tatizo la kikatiba. Katiba ndiyo inampa mamlaka rais kuteua majaji badala ya kufanyiwa vetting. Lakini rais hana mamlaka ya kumfuta jaji kazi, hilo nalo liko kikatiba. Wanaunda tume yao wenyewe ya kuwajibishana.Nilishawahi kusema,haiwezekani mahakama iitwe muhimili huru
wakati mkuu wake ambaye ni jaji mkuu ni mteule wa muhimili
mwingine(rais). Na kama jaji mkuu ni mteule wa rais,huenda akikorofisha anaweza
kutolewa jipu na aliyemteua,hapa uhuru wa huu mhimili uko wapi?
Chukulia kama unaitwa baba,alafu kuna mtu anaweza kuja kukuchapa viboko
mbele ya wanao na mkeo na maisha yakaendelea hapo kuna uhuru!au wewe ni mtumwa
wa huyo aliyekuchapa?
Majaji wote ni wateule wa rais,kama kweli mhimili huu ni huru
ni kwa nini jaji mkuu usiteue/kupitisha wanasheria wenye viwango wawe majaji
badala yake rais ambaye si mtaalam wa mambo ya sheria na ni mkuu wa serikali
ndo hutangaza wanasheria kupanda na kuwa majaji?