Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Mkwepa maswali yetu kinehe. Akiulizwa hivi anajibu vile mi naona kama anatuchanganya tu.
Huo mtindo wa kuulizwa kinjine na kujibu kingine, kama ni media za nje inaweza kutokea disaster ya kuaibishwa mpaka nchi ikatoa siku moja ya maombolezo kabisa na kazi watu wasiende.
 
Mayala!,umeamua kumvua nguo mfalme ju.ha,hahahahaha.yani hlo zee lnaturudixha nyuma kwenye utawala wa kpumbafu.lnachanganya lugha hovyohovyo kwanza kingereza chake chenyewe kbovu na ndio maana hapend kwenda kwenye nchi znazoongea kingereza.
 
pia kuna swali moja halikujibiwa ,jamaa kauliza maswali ya msingi sana big up Paschal Mayalla.
 
Manyerere anaomba matangazo kwenye gazeti lake eti njaa kali.... kujikomba banah!!
 
ile press conference cjaona maana yake yani waandishi asilimia 99% wameuliza maswal mepesi na maswal magum yaliyoulizwa kama yale ya jamaa wa BBC na Pasco yamejibiwa kiujanjaujanja tu, mtu anatoa majibu ambayo yako out of the question, that conference was meaningless and a wastage of time.
Utawalaumu bure tu waandishi, Tido Mhando mwenyewe anazijuwa gharama za kusimama katika kweli.

Pasco ni kiburi chake tu ameamuwa liwalo na liwe lakini mwisho wa siku Mayala ni msukuma na msishangae mkisikia Magu anampa shavu ili siku nyingine asilete usumbufu.
 
Yaani hapa naanza kuona ule Uzi wa Jana kwamba kulikuwa kuna mkakati wa kuwahonga wahariri labda ulifanikiwa. Yaani man of the match kawa mmoja tu. Paschal mayala
 
Nilishawahi kusema,haiwezekani mahakama iitwe muhimili huru
wakati mkuu wake ambaye ni jaji mkuu ni mteule wa muhimili
mwingine(rais). Na kama jaji mkuu ni mteule wa rais,huenda akikorofisha anaweza
kutolewa jipu na aliyemteua,hapa uhuru wa huu mhimili uko wapi?

Chukulia kama unaitwa baba,alafu kuna mtu anaweza kuja kukuchapa viboko
mbele ya wanao na mkeo na maisha yakaendelea hapo kuna uhuru!au wewe ni mtumwa
wa huyo aliyekuchapa?

Majaji wote ni wateule wa rais,kama kweli mhimili huu ni huru
ni kwa nini jaji mkuu usiteue/kupitisha wanasheria wenye viwango wawe majaji
badala yake rais ambaye si mtaalam wa mambo ya sheria na ni mkuu wa serikali
ndo hutangaza wanasheria kupanda na kuwa majaji?
 
Rais kajibu vizuri sana,naMayala hakuwa amesoma katiba na kuielewa...yawezekana ametumia uzoefu wa kijiweni kwake,au magazeti ya udaku...
 
Kweli. Hata Mimi nampongeza sana Pascal mayalla ameweza kuuliza maswali bila woga na ya msingi. Tunataka waandisji kama.hawa.
 
Hongera zake Mayalla kwa kujitambua. Na kutambua umuhimu wa kazi yake katika kutetea sheria na kupinga udhalimu UCHWARA
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.

Na wakati huo huo ni mjumbe wa Bunge - Rais akiingia bungeni linaitwa parliament, akiwa hayumo linaitwa national assembly!
 
Huo mtindo wa kuulizwa kinjine na kujibu kingine, kama ni media za nje inaweza kutokea disaster ya kuaibishwa mpaka nchi ikatoa siku moja ya maombolezo kabisa na kazi watu wasiende.
Dah! Hìi kali!
 
Shikamoo Pasco Mayala!
Umetimiza wajibu wako na historia itakukumbuka
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.

Hongera PM swali lake msingi na lile la nyongeza yote kifupi hayakujibiwa kabisa. Na pia hata jibu Mh.Rais alivyojibu ni tofauti na swali aliloulizwa. Swali la mwandishi PM lilikuwa ndilo swali la maana kuliko yote yalioulizwa. Na hata uwezo wake na jinsi alivyouuliza swali umeonyesha upeo wake wa juu wa uandishi. Waandishi wengine wa habari wanatakiwa kuiga kutoka kwake.

Waandishi wa habari hamjawahi kukutana na rais na kupata fursa ya kuuliza maswali. Baada ya mwaka mmoja mmepata nafasi hiyo. Mnaenda kuuliza maswali mengine mepesi! Some questions were very basics, which should have been answered by concerning related departments, institutions etc.. I doubt some other journalists capability 🙁
 
yeah he deserve to be a gt,ameuliza vzuri sana na kwa kujiamini.asante sana kawakilisha vema jf
 
Plzz mwenye hii video naomba atumie. 0712115115. Uyu jamaa ndiye mwandishi pekee aliyeuliza swali la msingi sana kwa taifa letu.
 
Nilishawahi kusema,haiwezekani mahakama iitwe muhimili huru
wakati mkuu wake ambaye ni jaji mkuu ni mteule wa muhimili
mwingine(rais). Na kama jaji mkuu ni mteule wa rais,huenda akikorofisha anaweza
kutolewa jipu na aliyemteua,hapa uhuru wa huu mhimili uko wapi?

Chukulia kama unaitwa baba,alafu kuna mtu anaweza kuja kukuchapa viboko
mbele ya wanao na mkeo na maisha yakaendelea hapo kuna uhuru!au wewe ni mtumwa
wa huyo aliyekuchapa?

Majaji wote ni wateule wa rais,kama kweli mhimili huu ni huru
ni kwa nini jaji mkuu usiteue/kupitisha wanasheria wenye viwango wawe majaji
badala yake rais ambaye si mtaalam wa mambo ya sheria na ni mkuu wa serikali
ndo hutangaza wanasheria kupanda na kuwa majaji?
Hilo mkuu ni tatizo la kikatiba. Katiba ndiyo inampa mamlaka rais kuteua majaji badala ya kufanyiwa vetting. Lakini rais hana mamlaka ya kumfuta jaji kazi, hilo nalo liko kikatiba. Wanaunda tume yao wenyewe ya kuwajibishana.
 
kwa maelezo ya JPM bunge halina uwezo wa kumuwajibisha maana yy yupo juu ya bunge.
Mayalla oyeeee-by JPM
 
Back
Top Bottom