Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Mimi ningeuliza kwanini anabana matumizi ilhali hakuna madawa ( msd inaidai haileti dawa vituoni kisa deni? Pia ningeshauri asibane matumizi kwenye masuala ya Afya za wananchi)
 
....masikini PASKALI MAYALA (Pascal) ilibidi awe mpole na mdogo kama PILITON....

PASCAL MAYALA (Njaa) OYEEEEH.....[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mayala hakupaswa kuunganisha maswali yake...angeuliza la kupiga marufku mikitano ya siasa...ila kwa hayo mengine mawili yeye mwenyew amejkuta anaingia mkenge....bunge na mahakama ngekuwa mzee hana mamlaka hayo wangeisha ruka nae
 
Ajue budget inapangwa na serikali na hata kama kuna mgawanyo wa madaraka baado serikali ipo juu ya mihimili hiyo 2 Pasco alikuwa anapiga porojo tu.
 
Niliposikia jina "Pascal Mayala" na kumsikia mtu anajitambulisha kama mwana jf tena kwa mbwembwe na nakshi zake zile zile tulizozizoea humu,hapo hapo nikajua Magu anakula virungu vya utosi,na ndivyo ilivyokuwa,ni pwaa pwaa,ha haa!
Hongera sana Pasco ila usivimbe hilo bichwa maana naona hapo limetuuna kweli kweli!Lione!Na ukirudi humu urudi kwa adabu,usije ukachafua hali ya hewa tena maana tunakujua na ile misemo yako ya kilatini voix popu nini sijui!😀
 
Naomba Musisahau Sio Pasco wa JF, Ni Pasco Mayalla wa Kiti moto cha Enzi zileeeee! Huyu wa JF Ni stooge wa Lumumba!
Hahahaha mkuu mi mwenyewe nilikua napata shida nilikua nikidhani ni huyu wa jf, kumbe huyu wa jf ni mropokaji wa humu tu hana lolote, shame on him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…