Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuta nini sasa. Mbona hujajinyonga mpaka sa'izi?Siku yangu imeharibika sana Leo...najuta kuangalia hicho kipindi
Mayara??Mayara oyeeee!!!
Safi sana Mayala, ingawaje hujapata majibu ya uhakika
Mayala hakupaswa kuunganisha maswali yake...angeuliza la kupiga marufku mikitano ya siasa...ila kwa hayo mengine mawili yeye mwenyew amejkuta anaingia mkenge....bunge na mahakama ngekuwa mzee hana mamlaka hayo wangeisha ruka naeNimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Angejibu vp Mkuu.. Tupeni sample.Hakika ameuliza maswali ya msingi sana lakini yamejibiwa kibrah brah tu
Jasiri pasco mayalla (JPM)JASIRI SANA. NI WACHACHE SANA
Bila Kumsahau Bibi Mkora a.k.a FFoxyPasco amenidhihirishia kuwa jf tunakutana watu tuliosafi kichwani isipokuwa Lizaboni na wenzie!
Hao wote wakina lumumba fc buku 7 njaa kali huwezi kuwaona ktk UZI huu.....Bila Kumsahau Bibi Mkora a.k.a FFoxy
Pasco, Pascal Mayala, Paskali ndio huyo huyo mtu mmoja ID tofauti.Siyo Pasco, ni Pascal Mayalla
Paskal alihoji bajeti?walewale!!!!Ajue budget inapangwa na serikali na hata kama kuna mgawanyo wa madaraka baado serikali ipo juu ya mihimili hiyo 2 Pasco alikuwa anapiga porojo tu.
Hahahaha mkuu mi mwenyewe nilikua napata shida nilikua nikidhani ni huyu wa jf, kumbe huyu wa jf ni mropokaji wa humu tu hana lolote, shame on himNaomba Musisahau Sio Pasco wa JF, Ni Pasco Mayalla wa Kiti moto cha Enzi zileeeee! Huyu wa JF Ni stooge wa Lumumba!