Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

It's enough already,mbona pasco anapewa macredit utafikiri hilo swali tulikuwa hatuliulizi humu kila siku...mnamsifia sana mpaka inaboa,pasco mwenyewe sometimes anakuwa wa hovyohovyo humu!!!
mkuu nini tatizo?
 
kwanza alipigwa mzaha kuhusu jina lake. "mayala kikwetu ni njaa" kisha majibu yakafata. alichojibiwa wenyewe mnajua!! trump ashinde uchaguzi tu maana hali huku kwetu si nzuri.
 
Wivu Utakuua muda si mrefu
 
kwanza alipigwa mzaha kuhusu jina lake. "mayala kikwetu ni njaa" kisha majibu yakafata. alichojibiwa wenyewe mnajua!! trump ashinde uchaguzi tu maana hali huku kwetu si nzuri.
 
Kuna mwandishi wa BBC nadhani anaitwa Sami Awami alimtandi swali kwa kimombo Dr. Wa chato nusura aache kulijibu, na alipojibu alijibu....... Hongera Pasco wetu.
 
Paschal amewafurahisha wengi.
Lengo ni kufurahishwa au lengo ni mtazamo wa nchi. Kama una kumbukumbu watu katika hili suala walitaka kumtoa roho Alli Hapi, leo suala hili hili wamelisahau.
 
Maswali ya Pascal na jinsi alivyoyawasilisha anastahili pongezi, lakini hata huyu Sami Awami tumpongeze naye.
 
Hahahahahaaaaaa! Huyu huyu Pasco mnayemshangilia leo ndio huyu huyu mlikuwa mnamtukana jana. Pasco si mnafiki
 
Ukiangalia sana utakuta swali la Mayalla na Sammy ni swali lenye mada moja. Ila Mayalla aliuliza kwa style ya kimahakama (basing on facts and evidence) ie. katiba inaruhusu a, b, and c lakini wewe unasema hakuna ruksa, Kwanini? Sammy aliuliza kwa kujikita kwenye minong'ono zaidi (hearsay). ie inasemekana wewe uko hivi na hivi.....ni kweli? Kwa Mayalla rais hakuwa na jibu rahisi na (la pili hakujibu) wakati kwa Sammy alikanusha kirahisi kwa njia ile ile ya ''this is just a hearsay''
 
Hapana.
Hatuhitaji ma Pascal Mayalla 10 ila tunawahitaji 11 ili iwe timu kamili
 
It's enough already,mbona pasco anapewa macredit utafikiri hilo swali tulikuwa hatuliulizi humu kila siku...mnamsifia sana mpaka inaboa,pasco mwenyewe sometimes anakuwa wa hovyohovyo humu!!!
Wivu Wa kiwango cha lami
 
Kwani Pascal Mayalla anasifiwa humu tu JF??
Hujaona kwenye vijiwe vya kahawa, FB, Twitter kote huko akisifiwa??
Au nako alijinasabaisha kua anafanya kazi huko??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…