Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Naona issue ya separation of powers inatupiga chenga wengi wetu hata tuliosomasoma. Kuna mwandishi wa habari nilimsikia star tv akiponda degree ya siasa (alifikiri inafaa kufutwa haina mchango kwenye maendeleo) sasa uzi huu na majibu ya mheshimiwa yanaonyesha ile degree ya political science na public administration ni kitu muhimu sana (wanafundishwa separation of powers, elections na democracy among others).
Huenda ikawa kweli Pascal ana njaa-swali ni njaa ipi? Njaa ya chakula, ya elimu au....? Ni mwandishi na mwanasheria hivyo anabackground nzuri ya kuuliza swali lile (katiba na haki za bina adamu), of course lile lingine halikujibiwa.
 
Aisee.

kwa upande wangu nampuuza aliyejibu hovyo.

~Ze Kitabu.
 
Huwezi kuwa na separation of power kwa katiba hii!!! Bado nasisitiza Njaa itamuua Paskali.

Aidha TUNAMUONYA aache KUDHARAU wahariri, ATUOMBE MSAMAHA KABLA HATUJAANIKA MADUDU YAKE!! Amemwaga ugali tunamwaga mboga!!

Queen Esther

Queen swali bora kwako wewe ni lipi? Wasi Wasi wangu huenda hukuelewa hata swali lililoulizwa

Swali la Katiba!!!! Tujipange liingie kwenye ilani ya CCM 2020 maana kwa 2015 hakuna hiyo agenda na hakuna aliyehoji!!!

Queen Esther
 
Huwezi kuwa na separation of power kwa katiba hii!!! Bado nasisitiza Njaa itamuua Paskali.

Aidha TUNAMUONYA aache KUDHARAU wahariri, ATUOMBE MSAMAHA KABLA HATUJAANIKA MADUDU YAKE!! Amemwaga ugali tunamwaga mboga!!

Queen Esther
inaonekana unamuogopa.

ebu mwaga mboga.
 
inaonekana unamuogopa.

ebu mwaga mboga.

Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!

Queen Esther
 
Nilishas
Mimi nilishasema hapa kuwa huyu Pascal kwanza hana adabu.Kumuuliza rais kuwa mamlaka kayatoa wapi inaonyesha ni mtu ambaye haelewi hata maana ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Pascal umevamia demokrasia kwa pupa kama wananchi wa Libya ambao walivamia kwa pupa sasa wamebaki kushangaa kianchowakuta.
 
Ulitaka aulize hobby ya mukulu nn? Ktk watu waliouliza swali ni huyu, kuna wakatiba (mpaka mukulu akasema uliona wapi nimetaja katiba kweny compaign zangu?) na yule wa ajira. Hao ndiyo walionikosha ila angepatikana wa fao la kujitoa ningemualika nyumban kwangu akala na kunywa.
Mama anza kuandaa chakula cha usiku, Baba anataka kula alale
 
Huwezi kuwa na separation of power kwa katiba hii!!! Bado nasisitiza Njaa itamuua Paskali.

Aidha TUNAMUONYA aache KUDHARAU wahariri, ATUOMBE MSAMAHA KABLA HATUJAANIKA MADUDU YAKE!! Amemwaga ugali tunamwaga mboga!!

Queen Esther
Kwa hiyo ni katiba mbovu na ndo maana wengine wanaishabikia? Lakini swali lilikuwa valid kwa mtu anaelewa concept ya separtion of powers.
Sioni kwa nini aombe radhi?
 
Naomba Kujua Elimu yako,
Usikute Una Elimu Hewa.

Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!

Queen Esther
Acha kukariri,kuna NJAA YA MAFANIKIO pia.

Kwani mbona rais anaitwa Pombe?unajua maana ya pombe?

argriiiiiiiiiiiiiiii
 
1/4. Inakuhusu
 
Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!

Queen Esther
Hayo ni majina tu km majina mengine. Acha kubeza majina ya kiafrika kbsa.
Kati ya mayala na ww nani ni limbukeni wa majina?
Kwanza wazungu wanatudharau sana kutumia majina yao. Hata jina langu huwa nalichukia sana sbb inaonesha tulivyo wapumbafu sana wafrika.
Ww unaitwa queen esther na mayala (jina tamu lenye maana murua ya lugha ya kisukuma) unajua maana ya queen esther na chimbuko lake?
 
Acha kukariri,kuna NJAA YA MAFANIKIO pia.

Kwani mbona rais anaitwa Pombe?unajua maana ya pombe?

argriiiiiiiiiiiiiiii
Majina ya kibongo huwa nayapenda sana. Hata ukienda ulaya unaweza kuwa ww tu unayetumia jina hilo.
Mfano. Pombe, magufuli, mayala, mwamvua, yabu, jumanne, mkandawile
Ndiyo raha ya majina haya. Sasa mtu anaitwa queen esther anajua maana ya queen au anajiita uli mradi tu. Je, anatoka kwenye familia ya kifalme au ni ulimbukeni tu
 
Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!
Queen Esther
Du kuna kipindi ndugu yangu Mayaka hakutaka kuachana na Mmasai hadi aliposhindwa alibaki hukohuko
sijui kwanini hamtaki Masukuma mwenzake
 
Badala ya kujadili swali lililoulizwa ww unamjadili muuliza swali,mtoa mada 1/4 inakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…