Kwa mamlaka yapi????Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Kwa akili hizi hakika una aibisha wakaazi wa mkoani MaraMwanzoni mlisema waandishi watakuwa wameandaliwa sasa hivi mnaleta ngonjera mpya Magufuli ni kiboko yenu
Vipi kuhusu Mikutano ya SIASANimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
ameambiwaje samahani mkuuHakika ameuliza maswali ya msingi sana lakini yamejibiwa kibrah brah tu
Sasa nimekuelewa mkuu.Mkuu, mbona unaniangusha? Sijasema yamejibiwa vizuri, au hadi niseme majibu mepesi yasiyojitosheleza ndio unielewe kiongozi? Nilivyosema kirahisi mno unielewe vizuri mkuu.
Watu tupo mgodini chini ya ardhi alafu anatuletea pcha...weka maswali na majibu aluyotoa huyo babajescaUna assume kila mtu kaona au kayasikia.............yaandike hapa acha mambo yako...JF huwa hatuandiki hivi!!!
HahaaaaCongrats pascor nimeona swali makini umeuliza ad mwisho ikabid azuge kidogo mayala oooyeeee
Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.Pasco Mayala Mzee wa kipindi cha KITIMOTO enzi zile.
Nchi inaongozwa kwa check&balance we mbugila.sio one man show! hongera PASCO.hATA HAO WANAOMSHANGILIA pASCO NAWAONA KAMA HAWAJITAMBUI. rAIS WA nCHI NDIYO mKUU WA NCHI NA NDO MWENYE DOLA NA HAKUNA KAMA YEYE.
Akili uliyotumia kuandika hapa niyako..!! au ndio zile Lumumba...hATA HAO WANAOMSHANGILIA pASCO NAWAONA KAMA HAWAJITAMBUI. rAIS WA nCHI NDIYO mKUU WA NCHI NA NDO MWENYE DOLA NA HAKUNA KAMA YEYE.