Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hii ni kwa mjibu aa vigezo vyangu;
Wafuatao ndo wametumia vizuri nafasi ya kumwuliza rais maswali
1. Mayalla
2. Mwandishi wa BBC
3. Katibu wa MOAT
4. Tiddo Muhando
5. Muhariri wa Mwananchi (aliuliza swala za Zanzibar)

WAandishi ni wazuri kwny kupata taarifa wakazitangaza/kuzichapisha ila kuuliza mambo ya msingi ola kabisa

Waandishi nimeona nao ni machoko tu
 
Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
Khaaaa, Kweli Tanzania ni kubwa! ujinga huu utaisha lini? ukiona uko against sana na wenzio ujue una matatizo!

Kimsingi Pascal ndie alieuliza swali la maana sana japo upande wa kijani hawawezi kulifurahia swali hili
 
Amekukuna hadi wapi?
Kama alilala mbele na 20mil dollars
Tusitegemee ESICUROW na AIPITIELO zikamulikwa since nayo ni makaburi
 
Hajajibu hilo swali. Hajaeleza nini maana ya separation of power. Au anataka kusema hata pamoja na kuwepo kwa separation of power bado rais anakuwa na mamlaka makubwa kuliko vyombo vingine?
 
key word kwenye swali la Mayalla ni "mamlaka". Wapi Rais anapata mamlaka haya. Hilo la kwamba pesa inatoka wapi sio issue. Je, ni kwa vile pesa ya kuitunza familia unaitoa wewe basi unaweza kuifanya utakavyo? Hapana, baba kutoa pesa za kuhudumia familia ni wajibu na takwa la kisheria lakini namna anayopaswa kui-treat lina mipaka yake huwezi kusema leo unakataza watoto wasiende shule kwa miezi minne eti kwa vile unawapa pesa wewe. So hajajibu swali na anajua hana mamlaka hiyo kisheria na kikatiba
Kabisa....very correct
 
Wataalam wa katiba waje hapa watueleze kama kifungu cha 35 cha katiba kinampa madaraka makubwa Rais dhidi ya mihimili mingine ya dola.
 
1. Nanukuu: "Sikuja kufukua Makaburi, bali kuanzia nilipoikuta nchi na kuipeleka mbele".
Mwisho wa Kunukuu
Nadhani wale mliokuwa mnaropoka Kama Lowassa ni fisadi apelekwe Mahakamani mmejibiwa. Muhimu ni kutokubali Watu wa aina ya LOWASSA kutopewa nafasi tena nchi hii , matendo yao sasa yanatosha. Tumuunge mkono rais wetu.
2. Nanukuu: " Mifuko ya jamii na Mabenki imefilisika lakini wakopaji wakubwa ni wanasiasa, UKAWA wamo, CCM wamo , lakini utakuta ni wapiga kelele na waongeaji wwkubwa sana" mwisho wa kunukuu.

Kwa ujumla kama vyombo vya habari kesho havitakuja na headline kuhusiana na mambo haya mawili ujue hatuna wana habari. Mabenki kuwa na hali mbaya na hata kupelekea mengine kuwa chini ya uangalizi wa BOT ni mambo ambayo yamekuwa ni viashiria vya hali mbaya uchumi na ndiyo habari ya mjini hivi sasa, lakini kumbe wale wanaopiga kelele kuilaumu serikali ndiyo hao hao wanaopelekea hali hiyo. Hii ni hatari sana.
Ni tabia ya kutanguliza maslahi binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa. Kutoshughulika na Watu waliohusika kuihujumu uchumi wa nchi yetu huko nyuma isiwe sababu ya kuamini kwamba hao watu hawakulihujumu taifa. Jambo la muhimu ni kutowapa nafasi tena watu wa aina hiyo katika taifa hili. Tumuunge mkono rais ili altujengee taifa lenye watu wa kutanguliza uzalendo mbele badala ya maslahi yao binafsi. Kwa kifupi tuseme tunataka taifa jipya na tusema SASA BASI wale waliolihujumu taifa.
NAMUUNGA MKONO RAIS JPM .
Mifuko ya jamii inakopesha wananchi ambao si wanachama wake? Nijuavyo mkopaji na mdaiwa mkubwa wa mifuko ya jamii ni SERIKALI

Hao wakopaji "wanaofilisi" mabenki na hiyo mifuko ya jamii kwani hawajulikani? Kwani miaka yote banki zinafanyaje kwa wadeni wake wanaposhindwa kulipa? kwa nini leo liwe suala la kisiasa? Hizo headlines unazotaka weka kwenye gazeti lako au blog yako...kwani wewe si umeyasikia? wewe ULIYEKUNWA, ziweke kama headlines, usilazimishe wengine.
 
Sasa lile swali la tido angejibiwaje, Rais hakuwahi kuzungumzia sio tu kwenye Kampeni bali hata baadhi ya hotuba zake, Kitendo cha Tido kumlisha maneno ilikuwa sio sahihi
Mkuu kwahiyo unataka kusema yale ambayo rais hakuyazungumzia basi anayaacha pending si ndiyo?
Mana yote yapo ndani ya shughuli za sirikali
 
Naungana na wewe mkuu maswali ya Pasco kwa mtazamo wangu yalikuwa maswali bora kabisa kwenye ile press conference...Many thanks Pasco.
Pia nilifurahishwa sana kwenye kipindi kuhusu mjadala wa huu muswada wa habari kwenye TV moja, ambapo ulibainisha namna muswaada wa habari ulivyoshindwa kutofautisha government owned media na public media, na ukatolea mfano kwamba kwa mujibu wa muswaada TBC ni government media wakati kiukweli ni public media. This was really very good argument...ulikuwa unampta taabu sanaa yule jamaa (derick??), hongera...
 
1. Nanukuu: "Sikuja kufukua Makaburi, bali kuanzia nilipoikuta nchi na kuipeleka mbele".
Mwisho wa Kunukuu
Nadhani wale mliokuwa mnaropoka Kama Lowassa ni fisadi apelekwe Mahakamani mmejibiwa. Muhimu ni kutokubali Watu wa aina ya LOWASSA kutopewa nafasi tena nchi hii , matendo yao sasa yanatosha. Tumuunge mkono rais wetu.
2. Nanukuu: " Mifuko ya jamii na Mabenki imefilisika lakini wakopaji wakubwa ni wanasiasa, UKAWA wamo, CCM wamo , lakini utakuta wao ndiyo wapiga kelele na waongeaji wakubwa sana" mwisho wa kunukuu.

Kwa ujumla kama vyombo vya habari kesho havitakuja na headline kuhusiana na mambo haya mawili ujue hatuna wana habari. Mabenki kuwa na hali mbaya na hata kupelekea mengine kuwa chini ya uangalizi wa BOT ni mambo ambayo yamekuwa ni viashiria vya hali mbaya uchumi na ndiyo habari ya mjini hivi sasa, lakini kumbe wale wanaopiga kelele kuilaumu serikali ndiyo hao hao wanaopelekea hali hiyo. Hii ni hatari sana.
Ni tabia ya kutanguliza maslahi binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa. Kutoshughulika na Watu waliohusika kuihujumu uchumi wa nchi yetu huko nyuma isiwe sababu ya kuamini kwamba hao watu hawakulihujumu taifa. Jambo la muhimu ni kutowapa nafasi tena watu wa aina hiyo katika taifa hili. Tumuunge mkono rais ili altujengee taifa lenye watu wa kutanguliza uzalendo mbele badala ya maslahi yao binafsi. Kwa kifupi tuseme tunataka taifa jipya na tusema SASA BASI kwa wale waliolihujumu taifa.
NAMUUNGA MKONO RAIS JPM .
Unawatibua makamanda.
 
Badilisha haraka hilo neno " AMEKUKUNA SANA.." alafu umerudia rudia neno "huko nyuma" mara 2 hv ktk thread yako..!!

Do fast.. kama ww ni -ke basi sawa
 
Hili swali wamekuwa wakiulizwa mara kwa mara na msomi Tundu Lisu. Na amekuwa kiichambua sana katika katika eneo hii kuonyesha ni kwa namna gani wanafanya abuse of power. Kwa nini hajawahi kujitokeza hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoa ufafanuzi ili kuhalilisha kwamba anachokifanya Rais kiko sahihi?
 
Back
Top Bottom