[emoji15] [emoji15]hATA HAO WANAOMSHANGILIA pASCO NAWAONA KAMA HAWAJITAMBUI. rAIS WA nCHI NDIYO mKUU WA NCHI NA NDO MWENYE DOLA NA HAKUNA KAMA YEYE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15]hATA HAO WANAOMSHANGILIA pASCO NAWAONA KAMA HAWAJITAMBUI. rAIS WA nCHI NDIYO mKUU WA NCHI NA NDO MWENYE DOLA NA HAKUNA KAMA YEYE.
Bure kabisaYule mama wa TBc... Aliyemuuliza mkulu anapenda nini
Hii ni kwa mjibu aa vigezo vyangu;
Wafuatao ndo wametumia vizuri nafasi ya kumwuliza rais maswali
1. Mayalla
2. Mwandishi wa BBC
3. Katibu wa MOAT
4. Tiddo Muhando
5. Muhariri wa Mwananchi (aliuliza swala za Zanzibar)
Khaaaa, Kweli Tanzania ni kubwa! ujinga huu utaisha lini? ukiona uko against sana na wenzio ujue una matatizo!Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
Kabisa....very correctkey word kwenye swali la Mayalla ni "mamlaka". Wapi Rais anapata mamlaka haya. Hilo la kwamba pesa inatoka wapi sio issue. Je, ni kwa vile pesa ya kuitunza familia unaitoa wewe basi unaweza kuifanya utakavyo? Hapana, baba kutoa pesa za kuhudumia familia ni wajibu na takwa la kisheria lakini namna anayopaswa kui-treat lina mipaka yake huwezi kusema leo unakataza watoto wasiende shule kwa miezi minne eti kwa vile unawapa pesa wewe. So hajajibu swali na anajua hana mamlaka hiyo kisheria na kikatiba
Mifuko ya jamii inakopesha wananchi ambao si wanachama wake? Nijuavyo mkopaji na mdaiwa mkubwa wa mifuko ya jamii ni SERIKALI1. Nanukuu: "Sikuja kufukua Makaburi, bali kuanzia nilipoikuta nchi na kuipeleka mbele".
Mwisho wa Kunukuu
Nadhani wale mliokuwa mnaropoka Kama Lowassa ni fisadi apelekwe Mahakamani mmejibiwa. Muhimu ni kutokubali Watu wa aina ya LOWASSA kutopewa nafasi tena nchi hii , matendo yao sasa yanatosha. Tumuunge mkono rais wetu.
2. Nanukuu: " Mifuko ya jamii na Mabenki imefilisika lakini wakopaji wakubwa ni wanasiasa, UKAWA wamo, CCM wamo , lakini utakuta ni wapiga kelele na waongeaji wwkubwa sana" mwisho wa kunukuu.
Kwa ujumla kama vyombo vya habari kesho havitakuja na headline kuhusiana na mambo haya mawili ujue hatuna wana habari. Mabenki kuwa na hali mbaya na hata kupelekea mengine kuwa chini ya uangalizi wa BOT ni mambo ambayo yamekuwa ni viashiria vya hali mbaya uchumi na ndiyo habari ya mjini hivi sasa, lakini kumbe wale wanaopiga kelele kuilaumu serikali ndiyo hao hao wanaopelekea hali hiyo. Hii ni hatari sana.
Ni tabia ya kutanguliza maslahi binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa. Kutoshughulika na Watu waliohusika kuihujumu uchumi wa nchi yetu huko nyuma isiwe sababu ya kuamini kwamba hao watu hawakulihujumu taifa. Jambo la muhimu ni kutowapa nafasi tena watu wa aina hiyo katika taifa hili. Tumuunge mkono rais ili altujengee taifa lenye watu wa kutanguliza uzalendo mbele badala ya maslahi yao binafsi. Kwa kifupi tuseme tunataka taifa jipya na tusema SASA BASI wale waliolihujumu taifa.
NAMUUNGA MKONO RAIS JPM .
Mkuu kwahiyo unataka kusema yale ambayo rais hakuyazungumzia basi anayaacha pending si ndiyo?Sasa lile swali la tido angejibiwaje, Rais hakuwahi kuzungumzia sio tu kwenye Kampeni bali hata baadhi ya hotuba zake, Kitendo cha Tido kumlisha maneno ilikuwa sio sahihi
Unawatibua makamanda.1. Nanukuu: "Sikuja kufukua Makaburi, bali kuanzia nilipoikuta nchi na kuipeleka mbele".
Mwisho wa Kunukuu
Nadhani wale mliokuwa mnaropoka Kama Lowassa ni fisadi apelekwe Mahakamani mmejibiwa. Muhimu ni kutokubali Watu wa aina ya LOWASSA kutopewa nafasi tena nchi hii , matendo yao sasa yanatosha. Tumuunge mkono rais wetu.
2. Nanukuu: " Mifuko ya jamii na Mabenki imefilisika lakini wakopaji wakubwa ni wanasiasa, UKAWA wamo, CCM wamo , lakini utakuta wao ndiyo wapiga kelele na waongeaji wakubwa sana" mwisho wa kunukuu.
Kwa ujumla kama vyombo vya habari kesho havitakuja na headline kuhusiana na mambo haya mawili ujue hatuna wana habari. Mabenki kuwa na hali mbaya na hata kupelekea mengine kuwa chini ya uangalizi wa BOT ni mambo ambayo yamekuwa ni viashiria vya hali mbaya uchumi na ndiyo habari ya mjini hivi sasa, lakini kumbe wale wanaopiga kelele kuilaumu serikali ndiyo hao hao wanaopelekea hali hiyo. Hii ni hatari sana.
Ni tabia ya kutanguliza maslahi binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa. Kutoshughulika na Watu waliohusika kuihujumu uchumi wa nchi yetu huko nyuma isiwe sababu ya kuamini kwamba hao watu hawakulihujumu taifa. Jambo la muhimu ni kutowapa nafasi tena watu wa aina hiyo katika taifa hili. Tumuunge mkono rais ili altujengee taifa lenye watu wa kutanguliza uzalendo mbele badala ya maslahi yao binafsi. Kwa kifupi tuseme tunataka taifa jipya na tusema SASA BASI kwa wale waliolihujumu taifa.
NAMUUNGA MKONO RAIS JPM .
kweli kila zama na enzi zake......Swala la katiba mpya naona leo ndio limezikwa rasmi.
Sasa zile billions of money zilipotea tuu, daah!!
Umenchekesha sana Mkuu..Sammy nae leo almanusura atolewa mkuku
1. Kirengez
2. Ukweli ungemgharimu sidhani km atakuwa kasubiria msosi