Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayala ki kwetu maana yake njaa.....ha ha haaa asubiri msosi.Pasco alipenyezewa lile swali,hakutafakari kwanza
hivi hawa waandishi wa bbc huwa wamesomea wapi tofauti na hawa wa kwetu?Akili za nyumbu hizo. Achana naye! Yaani hawa ndio wanasababisha mpaka sheria zinatungwa kali kupita maelezo. Mtu aandika utumbo wa kushtusha kiasi hiki. Hao anaowataja sasa hivi wako Ikulu wanakula bata.
Mbona kama unaonekana ni mzushi na mchochezi
Huu sasa ndio uchochezi. Acha tu huo muswada wa habari upitishwe ili kukomesha watu wa aina yako. Maana kichwa chako cha habari na maelezo yako ndani ni tofauti kabisa. Mtanyooka tu! It is just a matter of time!
Katiba iliyopo inampa mamlaka za kimungu Rais... Anaweza fanya lolote ajiskiavyo na hamna kesi.
Kama ulielewa jibu alilopewa kuhusu maana ya jina lake...i.e possibly amepewa kitu kido....na kupenyezewa swali ha ha ha haa....mwishoni Mzee kasema...msitumike vibayaKapenyezewa na nani?
Acha upuuzi huo mbumbu wa sheria ya katiba. 1.There is no absolute separation of power. 2. Rais wa TZ ana powers tatu: i.Head of state, ii.Head of the Government, iii. Head of th Armed forces. Huwezi ukamlinganisha Rais na spika au jaji mkuu. Raisi kikatiba ana mamlaka makubwa zaidi. Ktk mfumo wa Tz kikatiba mhimili wa serikali una mamlaka makubwa zaidi kuliko mihimili mingine. Kikatiba,Raisi ni sehemu ya Bunge. Kkatiba raisi huteua majaji wote. Unapoongelea separation of powers, you must also consider limitations of th same, depending on what is in our constitution which os binding.TETESI: SAMMY AWANI NA PASCAL MAYALLA MARUFUKU IKULU.
Pascal kwanza nikupongeze kwa kujenga swali lako vizuri sana
Majibu ya Rais kuhusu swali lako yanazua utata mwingine mkubwa. Kuna nyakati serikali inasema mihimili mitatu haiingiliani kiutendaji. Rais anasema mhimili wa serikali ni mkubwa Zaidi
Hili ni tatizo kubwa sana, hakuna mhimili mkubwa katika hiyo mitatu kwa wenzetu walioanzisha system hiyo. Rais anaposema mhimili wake ni mkubwa, tayari ameshakiuka 'separation of power'
Hakujibu swali na alipojaribu aliharibu Zaidi.
Sammy na wewe nikupongeze kwa kujenga swali lako vizuri sana..
Sammy awani " watu wengi wanahisi anakandamiza demokrasia ya nchi"
Majibu ya Rais kuhusu swali lako yanazua utata mwingine mkubwa.
Kwa maswali hayo nazani kuitwa tena ikulu msahau..
Maswali magumu, majibu mepesi.
Hapa kazi tu
Naona umemsifia sana Pascal Mayalla kuliko uhalisia wenyewe.huyu mwana habari Pascal Mayala a.k.a Mzee wa "Kitimoto" yeye ndio mwasisi wa kipindi cha KITIMOTO(CHA KUWAHOJI WANASIASA) na mwendeshaji wa kipindi hicho TVT 1995, aliwahi kuhojiwa suali gumu(msukuma mwenziwe) mwenyekiti wa UDP John Cheyo, kwaivo ujasiri wa Mr Mayala KUWAHOJI WANASIASA bila woga ni hulka na kipaji aliopewa na mungu.![]()
Kwa hivyo nawasihi wanahabari wote wuige mbinu zake, ili tz I onekana imo kwenye tasnia hii.
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Hahahaaa!Mmh jibu pale liko wapi mkuu, au kujibu mayala kwao ni njaa.
Umesema ukweli!!Kiboko yetu kwa lipi jipya zaidi ya kukwepa maswali ya msingi. Amejaa ngonjera na Mipasho, kaonesha uwezo wake kuwa Mdogo saana katka kujibu hoja.