Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na unajua kuwa bunge linaweza kumimpeach rais?Hujui kwamba Bunge linaweza kutunga sheria na Rais akakataa kuisaini? Hujui kwamba kwa mujibu wa Katiba Rais anaweza kutoa msamaha wa hukumu yoyote iliyotolewa na mahakama?
Hana ubavu wa kujibu hapoKatika sehemu ya pili ya Mayalla, ameuliza kuhusu Rais anakopata mamlaka yake ya kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano na mandamano. Nyie wenzangu mmesikia majibu hapo????
Badilisha haraka hilo neno " AMEKUKUNA SANA.." alafu umerudia rudia neno "huko nyuma" mara 2 hv ktk thread yako..!!
Do fast.. kama ww ni -ke basi sawa
Kweli kauliza maswali ya msingi sana.Lile la kuzuia mikutano ya siasa wala hajathubutu kuligusia.
haa haa rais anasema muhimili wake uko juu zaidi kwa vile wenyewe ndo unagawa pesa mweh. je ni mhimili gani unapanga matumizi ya pesa za serikali?
Swali la Pascal halikuwa na mashiko ndio maana Rais naye kalijibu kwa swali. Rais ndiye anazindua Bunge, Rais anasaini miswada kuwa Sheria, Rais anateua majaji, Rais anaweza kufuta hukumu ya mahakama yoyote.
Tatizo kifanya akili yako kutokua huru ni sbb ya kushindwa kumuelewa jpm.kuna vipengele vya katiba tulio wengi hatuvifaham mafuhum yake.naomba nipatiwe mfano wa hata nchi moja inayoongozwa na mahakama au bungeKwakweli kauliza swali zuri japo halijajibiwa hata kidogo, eti mwenye chungu, mara fedha za bunge.....
Pasco ametaja sasa nadhani magu ataanza kusoma humuJamiiForums~The Home of Great Thinkers
Hakuwa na majibuMimi naona mkuu alifanya makusudi kabisa kutojibu swali kuhusu haki ya mikusanyiko kama inavyotolewa na katiba, na yeye amepata wapi mamlaka ya kuzuia mikutani ya siasa. Kwa bahati mbaya Tido na Ryoba wakalipotezea kwa makusudi ili mkuu asiadhirike.