Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nimefurahi kumuona Pasco, nimekuwa nikisoma sana makala zake hapa jamii forum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyama. Waanzilishi wa hii dhana na separation of powers amina Jeremy Bentham walitamani iwe hivyo yaani kila muhimili uwe kivyake bila kuingiiliana lakini wakagundua kwamba hakuna separation of powers isiyo na kuingiliana ndio wakaja na kitu inaitwa checks and balances. Rais anaweza kusamehe na anaweza kubadili hukumu. Mkuu wa Dola anakuwa na upper hand dhidi ya wakuu wengine wa mihimili. Hutaki basi sikulazimishi ila unaona mwenyewe nani ni namba 1 wa nchi.
Sasa sii angekaa nayo ofisini na kuiapia? Kwa hiyo hata wale wanaoapa mbele yake wanaapia utii kwa katiba hiyo hiyo ila tuu wanasimama mbele yake kama anavyo simama mbele ya Jaji mkuu?Rais haapi utii kwa jaji bali anaapa utii kwa katiba.
Hahaha tutamjua kwa maongezi yaketena ataingia kwa feki ID
So Far Maswali ya Pasco ndio yanabamba na kushika kila kona ya nchi kwa watu wenye kujielewa kuliko hata Tukio zima.Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
SWALI LA MIKUTANO YA KISIASA HALIKUJIBIWA KABISAAAAHongera sana Pasco ni mwandishi pekee uliyeuliza swali...japo halikujibiwa ipasavyo
Nchi zote zenye demokrasia halisi, Bunge ndilo kila kitu. Bunge ndilo chombo halisi cha wananchi! Nafikiri umeona jinsi mabunge ya Marekani yanavyomwendesha Obama, pamoja na kwamba anaweza kutumia executive powers kuamua mambo mengine. Nchi kama Uswisi, bunge nalo ndiyo kila kitu, na ukizingatia nchi hiyo haina Rais kama Rais..naomba nipatiwe mfano wa hata nchi moja inayoongozwa na mahakama au bunge
mamlaka ya kuzuia mikutano? si nimejibu hapo alichojibu? au hata mamlaka ya kusema siasa fanyia ulikochaguliwa hana pia?Swali ni alipata wapi mamlaka kama sio alivyunja katiba
Mkuu Hebu zungumzia kidogo kuhusu maswali aliyouliza? Hayo ya kujinadi tumwachie Ngosha,maana amejinadi kuwa yeye ndiye super power! Katiba si kitu kwake! Kisa alipata nafasi ya kulihutubia bunge! Hogwash!Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
Jibu swali ni wapi katika katiba ya JMT kuna zuio la kufanya mikutano. Acha bla bla. Sema ni wapi. Swali la separation of power limejibiwa tayati japo lina utata.Ndio maana Mh Rais kamrejesha kwenda kuisoma katiba upya....mhimili iko sawa kwa juulakini kuna ambao umechimbiwa zaidi
duuh bangi tena?! hivi wakuu mambo mengine mnayotaka yafanyike mngekua viongozi mngeruhusu yafanyike bila mpangilio? katiba inaelekeza njia tuu,, maamuzi ya tunapitaje ni yetuKwa Mujib wa katiba au utashi wa akili ambayo ukishavuta bangi akili inakuwa si yako tena
yule mzee wa MOAT kajibiwa mbovu sana.......mzee wa watu mpaka akawa anatetemekaHii ni kwa mjibu aa vigezo vyangu;
Wafuatao ndo wametumia vizuri nafasi ya kumwuliza rais maswali
1. Mayalla
2. Mwandishi wa BBC
3. Katibu wa MOAT
4. Tiddo Muhando
5. Muhariri wa Mwananchi (aliuliza swala za Zanzibar)