Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja sijui wa amelilia tunzo.....yaani tuna safari ndefu mno!Pasco kanifuraisha kwa swali lake la msingi na muhimu kwa siku ya Leo. Waandishi wengine wameuliza maswali mepesi mepesi tu, pia kuipasha JF wengi hupita JF na kuitokui acknowledge.
na unajua kuwa akilivunja analazimika kuitisha uchaguzi mkuu?Unajua pia kwamba anaweza kulivunjilia mbali?
Umejibu vizuri. Inafahamika kuwa kweli ni kwa nia njema, lakini swali lilkua ni "Where in the Constitution", na Siyo Why!Ni kweli kauliza swali zuri lakini rais kamjibu kiutu uzima.rais anayo mamlaka yote dhamira ikiwa ni nzuri hata kama sheria haimpi mamlaka hayo tuache ushabiki wa kimachinga eti sheria na vitu vingine
Akili zako ndo zilipoishia hapoKwa akili hizi hakika una aibisha wakaazi wa mkoani Mara
Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?