chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Swali ZURI Majibu mepesi MNOOO. Eti Mayalla ni Njaa. Eti Mayalla Oyee! Hebu tuwe WAKWELI: Hili ndo jibu kwa swali lililoulizwa. Msingi wa jibu ni kuwa Mhimili mmoja UNATAFUTA hela na kuzigawa. Je, hii ndo sababu wa kuiingilia? Kwa maoni YANGU: Swali HALIKUJIBIWA!Maana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli