SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Waandishi sijaona wakigusia mabadiliko yaliyofanyika dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So he isKauliza vizuri lakini sasa mjibu swali kaingiza matani na kuliondolea maana
Just because he is the head of Governmet and the State, is he entitled to break the law?Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] yaaan issue n kwamba anajaribu kucomplicate ........anatumia ka falsafa fulan HIV kwamba if they don't want to understand yhu complicate them[emoji81]Swali kutoka kwa Mr. Mayala.
Mh. Rais uliapa kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa TZ, Je ulipata wapi mamlaka ya kuzuia mikutano ya siasa wakat katiba haikupi nafas ya kufanya hivyo?
Jibu....
Mayala kwa kisukuma ni njaa! Yawezekana ww Mayala ulizaliwa kipindi cha njaa! Wote wakacheka[emoji16], akaendelea....
Mh. Mayala uliwahi kujiuliza kwa nn hotuba yangu ya kwanza ya kubana matumizi niliitolea Bungeni Mbele ya Spika? Ukijua mpikaji wa chakula ni nan na mgawaji wa chakula ni nan bas utanielewa.
Hilo jibu la swali lililoulizwa , cjui kama ni vinaendana.
Mh. Rais kajibu vizuri sana swali la Pasco ile asijue sheria hawezi kufahamu kwamba swali limejibiwa. Mh Rais alianza kujibu swali kwa kuuliza swali, mfumo amvao hutumiwa na wanafalsa kuwafanya waliouliza maswali kupata majibu yao kwa kujibu swali walilouliza.Kauliza maswali mazuri yaliyojibiwa kirahisi mno.
Kasema maslahi ya nchi kwanza mengine baadae, inamaana hata kama tunavunja Katiba tuendelee tu?