Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Vipi mkuu?Hahahahahaaaaaa! Huyu huyu Pasco mnayemshangilia leo ndio huyu huyu mlikuwa mnamtukana jana. Pasco si mnafiki
Mbona hukuonekana katika press conference?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuu?Hahahahahaaaaaa! Huyu huyu Pasco mnayemshangilia leo ndio huyu huyu mlikuwa mnamtukana jana. Pasco si mnafiki
Ha ha haaa hapana Babati ni suala la kujadiliana tu.Afande Nyati usinielewe vibaya kaka, naomba niishie hapo.
PointHatuhitaji akina Pasco 10,tunahitaji watu wenye fikra kama za Pasco 10.
Sina wivu..he asked the obvious,he couldn't afford to ask some stupid leading questions kama rioba sababu asingekanyaga tena humu!Wivu Wa kiwango cha lami
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji..najaribu kumfanya pasco asipoteze focus,si unajua wabongo wakishalewa misifamkuu nini tatizo?
Tatizo ni waandishi kama nyie mnayoyatolea maamuzi mambo bila ya kuyapima. Leo mwenyewe (starTV) amekiri kuwa swali alioliuliza tayari amekwisha kumuuliza hapo kabla. Sasa ujasiri na tija wa swali unatokea wapi?Amka mnakaangwa kwa mafuta yenu wenyewe. Nakupa kazi ya nyumbani. Niswali gani liliohitaji ujasiri na kujiamini wa kuuliza kuliko lile swali la Tido mhando aliechomekea baada ya swali la mwandishi wa BBC.Swali lilikuwa rahisi likapata jibu gumu kiasi mpaka sasa sijalielewa. Kufanya kazi BBC,TBC,na sasa AzamTV kuwa ni jibu sahihi la swali la TidoAmani kwenu wana JF,
Katika mkutano wa Mh. Rais na Waandishi wa habari tar 04.11.2016 mwandishi Pasco Mayalla ndo mwandishi pekee aliyeonekana kujipanga na kumuuliza Rais swali lenye tija kwa Taifa bila woga, ingawa hakupewa jibu linalostahili, Pasco alijaa ujasiri na kujiamini ktk kazi yake ukilinganisha na waandishi wengine waliojaa wonga kwa kumwogopa Mh. Raia wetu, aina 10 ya akina Pasco inatosha kabisa kuleta MABADILIKO ktk tasinia ya uandishi wa habari, Hongera sn Pasco Mayalla.
Mkuu ww ni papaa chalii au chalii papaa Lima au siera golf tango??Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.
Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"
Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.
Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.
Nawasilisha.
KWELI WEWE MWE-KUNDU MPAKA KICHWANI UNAKUWA MWENYEKUNDU!!!Pascal Mayalla umetisha sana !!kiufupi swali lako halikujibiwa teh teh teh chezea vichwa weye mbaya zaidi ameji expose watu wamepata feedback kinachoendelea kwa magufuli mimi natoa rai kwake nchi haiendeshwi kwa utashi na misukumo ya hasira ya mtu ,KATIBA ambayo haijui na haitaki kuijua wala kufuata ushauri wake ndo itampeleka jelaits the matter mof time atakuja kukosea kitu kimoja kibaya sana ameanza na kipele badae jipu litampasukia
Alafu ukitazama lile swali la pili wanalosema Rais kashindwa kujibu "kwamba mamlaka ya kuwazuia wabunge kufanya siasa" tayari limo ndani ya Maudhui ya swali la Sami.Mkuu bwana Njaa ni mfuasi wa baba Pamela ndo maana unaona amepewa sifa sanaaa hakuna jipyha hapo. Japo kwa sisi wasomi tunaojitambua tunajua kuwa lile swali limedhihiri kuwa bwan Njaa hajitambui pamoja na kusema kuwa na yeye ni mwanasheria. Mwanasheria gani hajui makujukumu ya rais katika Tanzania na katiba iko wazi kabisa. Unaanza kuhoji mamlaka yake ambayo yapo kikatiba kiutekelezaji.
Na kuwa kuwakera wengi kuuliza swali ambalo tayari limeshaulizwa kifasaha na Awami wa BBC na kupata jibu tuliolitegemea.Paschal amewafurahisha wengi.
Ni kweli hata Maskani ya Kisonge hapa Zanzibar imemsifu sana Pascal wa Lumumba.Kwani Pascal Mayalla anasifiwa humu tu JF??
Hujaona kwenye vijiwe vya kahawa, FB, Twitter kote huko akisifiwa??
Au nako alijinasabaisha kua anafanya kazi huko??
Hili hasa ni jibu kwa yote( bottom line - ukabila ndio unasumbua). Sifa hizi si za kiuhalisia ni za kijimbo kama si za kikabila. Sitaki kurejea maneno ulioyatumia kwa vile sijui maana yake ila unajihiridhisha kuwa " ndio nyie"Pascal Mayalla is a hero.
Magufuli alishindwa kujibu swali lake, akakimbilia kwenye kifungu cha katiba ambacho Hakikuwa na jawabu LA swali la the great hero Pascal Mayalla idama lise Nyani Ngabu
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.
Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"
Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.
Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.
Nawasilisha.
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.
Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"
Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.
Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.
Nawasilisha.
Kumbe TBC siyo shirika la umma!! Usiharibu CV ya Pascal.Wajameni tuache kutoa mapovu. Pascal Mayala haelewi utendaji serikalini ukoje ndio maana aliuliza ili aeleweshwe. Kuuliza si ujinga pamoja na.kwamba yeye niwanasheria. Hajawahi kuwa mtumishi wa umma na hivyo haelewi namna gani serikali na mihimili mingine inafanya kazi. Sidhani kama ni busara kumsifia kauliza swali la maana wakati swali lile lilikua wazi tu. Ni suala la kueleweshwa tu.