Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Paschal anasifiwa kwa kuwa aliuliza swali kwa kiswahili bali Awami kwa kiingereza! Paschal alieleweka vizuri bali Awami hakueleweka kwakuwa wabongo wengi kiingereza chaliiiiii! Ngumbaru irudishwe!
 
Mkuu bwana Njaa ni mfuasi wa baba Pamela ndo maana unaona amepewa sifa sanaaa hakuna jipyha hapo. Japo kwa sisi wasomi tunaojitambua tunajua kuwa lile swali limedhihiri kuwa bwan Njaa hajitambui pamoja na kusema kuwa na yeye ni mwanasheria. Mwanasheria gani hajui makujukumu ya rais katika Tanzania na katiba iko wazi kabisa. Unaanza kuhoji mamlaka yake ambayo yapo kikatiba kiutekelezaji.
 
Amani kwenu wana JF,
Katika mkutano wa Mh. Rais na Waandishi wa habari tar 04.11.2016 mwandishi Pasco Mayalla ndo mwandishi pekee aliyeonekana kujipanga na kumuuliza Rais swali lenye tija kwa Taifa bila woga, ingawa hakupewa jibu linalostahili, Pasco alijaa ujasiri na kujiamini ktk kazi yake ukilinganisha na waandishi wengine waliojaa wonga kwa kumwogopa Mh. Raia wetu, aina 10 ya akina Pasco inatosha kabisa kuleta MABADILIKO ktk tasinia ya uandishi wa habari, Hongera sn Pasco Mayalla.
Tatizo ni waandishi kama nyie mnayoyatolea maamuzi mambo bila ya kuyapima. Leo mwenyewe (starTV) amekiri kuwa swali alioliuliza tayari amekwisha kumuuliza hapo kabla. Sasa ujasiri na tija wa swali unatokea wapi?Amka mnakaangwa kwa mafuta yenu wenyewe. Nakupa kazi ya nyumbani. Niswali gani liliohitaji ujasiri na kujiamini wa kuuliza kuliko lile swali la Tido mhando aliechomekea baada ya swali la mwandishi wa BBC.Swali lilikuwa rahisi likapata jibu gumu kiasi mpaka sasa sijalielewa. Kufanya kazi BBC,TBC,na sasa AzamTV kuwa ni jibu sahihi la swali la Tido

Jibu la Swali la Mayalla (Njaa)lilijibiwa kirahisi kama halwa na tende kwa kutanguliza kibwakizo cha kujificha chenye maana ya "huyu wangu" msihofu
 
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.

Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"

Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.

Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.

Nawasilisha.
Mkuu ww ni papaa chalii au chalii papaa Lima au siera golf tango??
Hyo Id yako niliwahi kuisikia maeneo ya chuo flan
 
Pascal Mayalla umetisha sana !!kiufupi swali lako halikujibiwa teh teh teh chezea vichwa weye mbaya zaidi ameji expose watu wamepata feedback kinachoendelea kwa magufuli mimi natoa rai kwake nchi haiendeshwi kwa utashi na misukumo ya hasira ya mtu ,KATIBA ambayo haijui na haitaki kuijua wala kufuata ushauri wake ndo itampeleka jelaits the matter mof time atakuja kukosea kitu kimoja kibaya sana ameanza na kipele badae jipu litampasukia
 
KWELI WEWE MWE-KUNDU MPAKA KICHWANI UNAKUWA MWENYEKUNDU!!!
 
Mkuu bwana Njaa ni mfuasi wa baba Pamela ndo maana unaona amepewa sifa sanaaa hakuna jipyha hapo. Japo kwa sisi wasomi tunaojitambua tunajua kuwa lile swali limedhihiri kuwa bwan Njaa hajitambui pamoja na kusema kuwa na yeye ni mwanasheria. Mwanasheria gani hajui makujukumu ya rais katika Tanzania na katiba iko wazi kabisa. Unaanza kuhoji mamlaka yake ambayo yapo kikatiba kiutekelezaji.
Alafu ukitazama lile swali la pili wanalosema Rais kashindwa kujibu "kwamba mamlaka ya kuwazuia wabunge kufanya siasa" tayari limo ndani ya Maudhui ya swali la Sami.

Lakini watu wameona rais kashindwa kujibu swali la Pasco na si Sami Awami.
 
Paschal amewafurahisha wengi.
Na kuwa kuwakera wengi kuuliza swali ambalo tayari limeshaulizwa kifasaha na Awami wa BBC na kupata jibu tuliolitegemea.
Kwani Pascal Mayalla anasifiwa humu tu JF??
Hujaona kwenye vijiwe vya kahawa, FB, Twitter kote huko akisifiwa??
Au nako alijinasabaisha kua anafanya kazi huko??
Ni kweli hata Maskani ya Kisonge hapa Zanzibar imemsifu sana Pascal wa Lumumba.
Pascal Mayalla is a hero.
Magufuli alishindwa kujibu swali lake, akakimbilia kwenye kifungu cha katiba ambacho Hakikuwa na jawabu LA swali la the great hero Pascal Mayalla idama lise Nyani Ngabu
Hili hasa ni jibu kwa yote( bottom line - ukabila ndio unasumbua). Sifa hizi si za kiuhalisia ni za kijimbo kama si za kikabila. Sitaki kurejea maneno ulioyatumia kwa vile sijui maana yake ila unajihiridhisha kuwa " ndio nyie"
 
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.

Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"

Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.

Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.

Nawasilisha.

Uko sahihi kabisa kwamba Pasco (Paschal Mayala) amekuwa popular kwa kuwa alieleza kuwa ni mwana JF...sasa baadhi ya wanaJF wanamuona kuwa eti yeye ndiye aliyeuliza swali zuri kuliko wote...na hii pia ni kwa sababu wako baadhi ya wana JF wanaoona kuwa JPM anakiuka katiba na 'kuiburuza' mihimili mingine....Lakini kwa maoni yangu waandishi wa habari wote waliuliza maswali mazuri kabisa...Dk. Rioba kwa mfano na hata Tido maswali yao yalikuwa mazuri kabisa. Lile la Dk. Rioba la kumtaka/kumuomba JPM ajipime mwenyewe kuhusu utendaji wake katika kipindi cha mwaka mmoja na pia jambo.mambo gani yanamuumiza kichwa yalikuwa mazuri kabisa...hata yule dada aliyekuwa amekaa karibu na Suzan Mungy/Mongi??? naye aliuliza maswali mazuri kabisa moja likiwa la human interest linalomtaka/linalomuomba Rais aeleze jambo gani anapendelea (baada ya saa za kazi?)....maswali kuhusu nchi ya viwanda nayo yalikuwa mazuri kama la Joseph Kulangwa...na maswali yote ya Tido Mhando yalikuwa mazuri likiwemo lile la kinachoitwa tendency ya udikteta ya Rais...kwa ujumla maswali yalikuwa mazuri kwa wote na hata la comrade Muhanika wa MOAT...

Isipokuwa binafsi nimekuwa disappointed namna magazeti 'yalivyopotezea' maelezo ya Rais kuhusu swali la Muhanika....kimsingi katika swali la Muhanika maelezo ya Rais yalikuwa kama ifuatavyo: Tuache Bunge wajadili muswada huo yeye hawezi kuingilia; Muswada huo ukipitishwa yeye ataupitisha/kusaini siku hiyo hiyo kuwa sheria (Rais hakuonyesha unafiki kabisa katika hili); wadau wamekuwa nao suala la muswada huu since 2011 lakini bado tu wanataka miezi mingine mitatu; wako watu wakiwemo wamiliki wa vyombo vya habari wanaoshinikiza kukataliwa kwa muswada huu na baadhi yao wanafahamika na wanatumia fedha na tunawafahamu, waandishi wa habari waache kutumika; muswada huu ni kwa maslahi yao waandishi wa habari....
 
Pascal ni ka vile aliyepiga penati au kipa aliyedaka penati ya mwishi ivo watu kumsifu badala ya kusifu na wale wa 5 waliopiga.
 
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.

Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"

Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.

Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.

Nawasilisha.

Tatizo lake anambwembwe sana,kwanini atumie lugha ya kingereza!
 
Wajameni tuache kutoa mapovu. Pascal Mayala haelewi utendaji serikalini ukoje ndio maana aliuliza ili aeleweshwe. Kuuliza si ujinga pamoja na.kwamba yeye niwanasheria. Hajawahi kuwa mtumishi wa umma na hivyo haelewi namna gani serikali na mihimili mingine inafanya kazi. Sidhani kama ni busara kumsifia kauliza swali la maana wakati swali lile lilikua wazi tu. Ni suala la kueleweshwa tu.
Kumbe TBC siyo shirika la umma!! Usiharibu CV ya Pascal.
 
Back
Top Bottom