simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
We don't need world bank to finance projects we need mafisadi CCM kutufadhili watanzania. CCM pesa ndefu ya ufisadi usiseme mwanangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaonekana una hasira sana mkuu kwa Mwandishi Msomi Hon Pascal Mayalla? Samahani lakini, wewe ni mwandishi wa gazeti la chama??Tutachoma moto mifupa yake!!! Hahaahaaa!!
Queen Esther
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu..swali la Mayalla liligonga mfupa na ndio maana hata majibu yalikuwa blah blah yani kwa kifupi swali halikujibiwa..Mbona unaonekana una hasira sana mkuu kwa Mwandishi Msomi Hon Pascal Mayalla? Samahani lakini, wewe ni mwandishi wa gazeti la chama??
Mama unatoka kwenye ukoo gan wa kifalme uingereza?https://www.jamiiforums.com/attachments/282308/
Hiyo ni Ilani ya CCM 2015 uniambie wapi wamesema wataleta katiba mpya??
Queen Esther
Mama unatoka kwenye ukoo gan wa kifalme uingereza?
Safi sana, ndio swali pekee lililompa shida Rais kulijibu, kalijibu kisiasa sana
Kwani aliharibu kila kitu mkuu? Mengine mbona alifanya vizuri tu!🙂🙂🙂 Mkuu huyu aliyepita si tunasema iliharibu!!!
Queen, nina mashaka kama unamjua Pascal kiasi hicho unachotaka kutuaminisha. Kwa vile tu kasema kile usichokipenda wewe basi amekuwa Mr. NJAA. Si kweli, Pascal tangu akiwa DTV na kipindi chake maarufu cha KITI MOTO ndipo nilipoanza kumjua ni mtu wa namna gani. Hakuna mgeni/kiongozi yeyote aliyekuwa anaalikwa kwenye hicho kipindi asipate wakati mgumu wa kujibu maswali ya Pascal. Sio mtu wa kuuliza maswali ya kumpamba mtu. Na sauti yake ni hiyohiyo na kama wewe uliona sauti aliyotumia kumuuliza swali JPM ni ya ukali ni dhahiri humjui huyu Pascal.Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!
Queen Esther
Dr.Mayalla.Atapewa tuzo muandishi bora wa mwaka 2016.Kati Ya Pascal Mayala na Bwana yulee wa awamu iliyopita nani alistahili kupewa Udaktari wa heshima?
Hivi ni kweli amefanya hivyo? Nilidhani ni wana mtandao wenyewe waliompa sifa hiyo?KITENDO CHA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII, MABAA NA TV KUWA YEYE TU NDIO AMEULIZA SWALI ZURI KULIKO WAHARIRI WOTE WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI NI KASHFA KUBWA KWA TASNIA YA HABARI NA JAMII YOTE!!
Queen Esther
Unadhani aliuliza kwa sababu hajui,au alikuwa ana mwambia rais afuate katiba,yale maswali yalikuwa yanaujumbe mzito sana.Kama kuna mtu anafagilia maswali ya mayala...yafaa naye apimwe akili!mayala amedhihirisha jinsi alivyomweupe kichwani japo alijambulisha kama mwanasheria....mwanasheria gani hajui katiba ya nchi yetu!unamuuliza Rais...nani amekupa mamlaka/kwa mamlaka gani unafanya haya......kichwani yuko vizuri huyu?hujui mamlaka ya Rais?hujui Rais anapewa mamlaka na nani?ni dhahiri taaluma hii imevamiwa!
Wee ni yule chalii aliyefunga ndoa ya namna moja?Kuna maswali ukiuliza tuu utajulikana kama umetumwa alafu yanashusha cv yako muda mwingine bora unyamaze ili watu wajue huna swali kauliza upuuzi tuu
Povu la Lumumba hili...Wewe ndo mweupe kabisa hata hiyo katiba huijui kaz kula buku 7 za Lumumba tuu....Kila mhimili umetatwa kwwnye katiba na mipaka yake imetajwa kabisaa...sasa siku nyingine kma hujui kitu tulia uambiwe..Acha kusoma makabrasha ya Lumumba chukua katiba usome.nymbafKama kuna mtu anafagilia maswali ya mayala...yafaa naye apimwe akili!mayala amedhihirisha jinsi alivyomweupe kichwani japo alijambulisha kama mwanasheria....mwanasheria gani hajui katiba ya nchi yetu!unamuuliza Rais...nani amekupa mamlaka/kwa mamlaka gani unafanya haya......kichwani yuko vizuri huyu?hujui mamlaka ya Rais?hujui Rais anapewa mamlaka na nani?ni dhahiri taaluma hii imevamiwa!
sasa kwani hili ndo jibu la swali?Maana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli
Alichomekeasasa kwani hili ndo jibu la swali?
wacha ukanjanja kama anastahili sifa mpe uchoyo tuuAlichomekea
Sijibizani na wageni wasiojua hata maana ya kuchomekeawacha ukanjanja kama anastahili sifa mpe uchoyo tuu