ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,176
- 3,038
Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu.
Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako
Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwa kazi mliyoifanya katika nchi hii kwenye kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji
Sasa nimeamini ile kauli yako uliyosema kutakuwa na chakula cha kututosha na tutalisha dunia kwa miradi hii mikubwa inayotekelezwa kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Manyara, Morongoro, Iringa, na Mbeya
Mwisho nitoshe kusema kura yangu umeipata ushindi wako ni mkubwa sana kwani uongozi wako umewafikia Wapiga kura harisi mama nakuomba ikikupenda nami niweze kupata heka tano tu (5) za skimu nami nikakuunge mkono huko mashambani ulikoamua kutoa ma billions ya pesa
Ni wako katika ujezi wa taifa Argan Mara mtoto wa Mara