ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,176
- 3,038
- Thread starter
- #21
Wewe ambae ujalabishwa tuambie ni wapi kaborongaUtaonaje sasa wakati umelambishwa asali na pipi kijiti kumafla...🚮
Wewe ambae ujalabishwa tuambie ni wapi kaborongaUtaonaje sasa wakati umelambishwa asali na pipi kijiti kumafla...🚮
Samia 2025 hakuna mwingine. Mama anatosha. Muunge mkono.Utaonaje sasa wakati umelambishwa asali na pipi kijiti kumafla...[emoji706]
Kasome kitabu cha Mwinyi yeye ndie alieuza uko ngorongoroIngia tume ya taifa ya umwagiliaji uyu mama hana baya
Hakuuza yeyeSisi wa Ngorongoro tunamlaani Kila siku shetani Samia.
Mimi namuunga na miguuSamia 2025 hakuna mwingine. Mama anatosha. Muunge mkono.