ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,176
- 3,038
Sasa kusifia bila kuitaja miradi maeneo ilipo na miradi namna inavyotekelezwa, tayari huo ni uchawa, tena uliokubuhu kwa kuota manyoya!Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu.
Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako
Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwackazi mliyoifanya katika nchi hii kwenye kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji
Sasa nimeamini ile kauli yako uliyosema kutakuwa na chakula cha kututosha na tutalisha dunia kwa miradi hii mikubwa inayotekelezwa kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Manyara, Morongoro, Iringa, na Mbeya
Mwisho nitoshe kusema kura yangu umeipata ushindi wako ni mkubwa sana kwani uongozi wako umewafikia Wapiga kura harisi mama nakuomba ikikupenda nami niweze kupata heka tano tu (5) za skimu nami nikakuunge mkono huko mashambani ulikoamua kutoa ma billions ya pesa
Ni wako katika ujezi wa taifa Argan Mara mtoto wa Mara
Inawezekana wame uogopa uchaguzi mwanzo nilijua iwapo lissu atagombea atashinda mapema sana duh kumbe mama kawekezaNo reforms no election
Vizuri sanaUlichokiandika unakielewa?
Anther long roped neck attached with a human skull.Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu.
Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako
Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwa kazi mliyoifanya katika nchi hii kwenye kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji
Sasa nimeamini ile kauli yako uliyosema kutakuwa na chakula cha kututosha na tutalisha dunia kwa miradi hii mikubwa inayotekelezwa kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Manyara, Morongoro, Iringa, na Mbeya
Mwisho nitoshe kusema kura yangu umeipata ushindi wako ni mkubwa sana kwani uongozi wako umewafikia Wapiga kura harisi mama nakuomba ikikupenda nami niweze kupata heka tano tu (5) za skimu nami nikakuunge mkono huko mashambani ulikoamua kutoa ma billions ya pesa
Ni wako katika ujezi wa taifa Argan Mara mtoto wa Mara
Sina uchawa wowote Mungu ni shahidi ila tambua tu mama kawekeza sana uko maporini na huko ndo wapiga kura walipoAlikuwep Lucas
Penye ukweli pasemwe na penye zuri pasifiweAlikuwep Lucas
Sitafuni mfupa mimiHuu mfupa ulimshinda fisi aina ya Lucas
Nimeisha kutajia mikoa ukitaka kujua miradi inatekelezwaje Ingia wizara ya kilimoSasa kusifia bila kuitaja miradi maeneo ilipo na miradi namna inavyotekelezwa, tayari huo ni uchawa, tena uliokubuhu kwa kuota manyoya!
Binafsi sijaona alipo boronga uyu mama tena anastahiki pongezi kwa uogozi wake mzuriKwa hilo moja tu la kilimo... Na aliyo boronga ni mangapi? Unayafahamu? Nyie ni aina ya wale walambishwa asali ukilamba tu unaanza kumwaga sifa kama mwenda wa zimu kashika rungu.
Picha iko wapi??Haloooo wanazengo heshima yangu kwenu wakuu.
Binafsi sikuwahi kuwa mshabiki wa rais Dr samia lakini kwa hili mama upele umenikuna sina uchawa wowote kwako wala kwa chama chako
Nachukua nafsi kutoa pongezi zangu kwako na kwa waziri wa wizara husika ya kilimo kwa kazi mliyoifanya katika nchi hii kwenye kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji
Sasa nimeamini ile kauli yako uliyosema kutakuwa na chakula cha kututosha na tutalisha dunia kwa miradi hii mikubwa inayotekelezwa kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Manyara, Morongoro, Iringa, na Mbeya
Mwisho nitoshe kusema kura yangu umeipata ushindi wako ni mkubwa sana kwani uongozi wako umewafikia Wapiga kura harisi mama nakuomba ikikupenda nami niweze kupata heka tano tu (5) za skimu nami nikakuunge mkono huko mashambani ulikoamua kutoa ma billions ya pesa
Ni wako katika ujezi wa taifa Argan Mara mtoto wa Mara
Ingia tume ya taifa ya umwagiliaji uyu mama hana bayaPicha iko wapi??
Utaonaje sasa wakati umelambishwa asali na pipi kijiti kumafla...🚮Binafsi sijaona alipo boronga uyu mama tena anastahiki pongezi kwa uogozi wake mzuri