Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
SawaWeka picha tuone
Ni kweli lile soka mwanzoni lilikuwa pale otu ila likaja kuhamishiwa pale AICC chini ya kibo palllace hotel..pale palikuwa pamejaa vibanda vichafu sana ila kwa sawa pako shwari..lakini lingine soko la Tanzanite wamehamishia mererani kwa hiyo wanunuzi na mabrocker wa Tanzanite wamerudi merarani..pale kwa sasa kuna biashara ya rubby,roadlite,green gunet/tomalin,somphire,cheap stone zote...maana yake population imepungua na vibanda vimeondoka.Halafu Kuna lile soko la madini lilipohamishiwa pale limeongeza uchafu kwa Arusha, hivi waliokosa sehemu kubwa yakuliweka Hilo soko?
Jiji lina mipango miji kweli?
Soko limerudishwa Mererani bana......pale wamebaki mmasai wawili watatu wanatembezega tomarines kutoka Terat huko.Halafu Kuna lile soko la madini lilipohamishiwa pale limeongeza uchafu kwa Arusha, hivi waliokosa sehemu kubwa yakuliweka Hilo soko?
Jiji lina mipango miji kweli?
Hongera ingempendeza zaidi.Hapo vip!!
Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka.
Baada ya kuandika kuhusiana na swala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala.
Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza...sasa ile hadhi ya jiji la Arusha imeoneka.
Sasa hata mzungu anaweza kutembea tembea pasipo kuwa na wasiwasi.
Mama sisi wengine tunakuelewa endelea kukaza hivyo hivyo..mama sio kila maamuzi utakayofanya lazima wawafurahishe wananchi ..maamuzi mengine huwa yanakuwa machungu kama klorokwin ila yanamtibu huyo anaelalamika.
Naunga mkono hoja.Hapo vip!!

Safi sana ka vibanda vimeondoka pale maana Ile sehemu ilikuwa ndogo na kumebanana sanaNi kweli lile soka mwanzoni lilikuwa pale otu ila likaja kuhamishiwa pale AICC chini ya kibo palllace hotel..pale palikuwa pamejaa vibanda vichafu sana ila kwa sawa pako shwari..lakini lingine soko la Tanzanite wamehamishia mererani kwa hiyo wanunuzi na mabrocker wa Tanzanite wamerudi merarani..pale kwa sasa kuna biashara ya rubby,roadlite,green gunet/tomalin,somphire,cheap stone zote...maana yake population imepungua na vibanda vimeondoka.
Kizazi cha siku hizi kina changamoto kubwa sana kwenye uandishi wao! Ni kawaida kuwakuta wakiandika 'ivi' badala ya hivi! 'Ongera' badala ya Hongera, 'itaji' badala ya hitaji! 'aya' badala ya haya, 'abari' badala ya habari!!, nk.Hongera ingempendeza zaidi.
Ni Hongera siyo OngeraHapo vip!!
Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka.
Baada ya kuandika kuhusiana na swala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala.
Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza...sasa ile hadhi ya jiji la Arusha imeoneka.
Sasa hata mzungu anaweza kutembea tembea pasipo kuwa na wasiwasi.
Mama sisi wengine tunakuelewa endelea kukaza hivyo hivyo..mama sio kila maamuzi utakayofanya lazima wawafurahishe wananchi ..maamuzi mengine huwa yanakuwa machungu kama klorokwin ila yanamtibu huyo anaelalamika.
😍Hapo vip!!