Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake.
Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan.
Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo.
Hata hivyo kifo ni kifo tu msizue taharuki.
Pole sana mama yetu samia kipenzi chetu kwa msiba mzito wa mume wako kipenzi.
Nawaonya wote wanaobeza kifo hiki wawe na utu, sote tuungane kumpa pole mama yetu kipenzi.
Nimeungana rasmi na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kufanya kazi ya kizalendo ya kumtetea mama yetu.
Wahusika waangalie namna ya kuniweka kwenye payroll. Nataka kujaribu aina hii ya ujasiriamali.