Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake.

Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan.

Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo.

Hata hivyo kifo ni kifo tu msizue taharuki.

Pole sana mama yetu samia kipenzi chetu kwa msiba mzito wa mume wako kipenzi.

Nawaonya wote wanaobeza kifo hiki wawe na utu, sote tuungane kumpa pole mama yetu kipenzi.

Nimeungana rasmi na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kufanya kazi ya kizalendo ya kumtetea mama yetu.

Wahusika waangalie namna ya kuniweka kwenye payroll. Nataka kujaribu aina hii ya ujasiriamali.
 
Nimeungana rasmi na @Tlaatlaah na @Lucas Mwashambwa kufanya kazi ya kizalendo ya kumtetea mama yetu.

Wahusika waangalie namna ya kuniweka kwenye payroll.
Ndugu hizo pesa mnapewa, mtakuja kutobolewa spika.

Mwanaume unapaswa ujitume, upige kazi ndipo upate fedha. Hizo hela za dezodezo achana nazo.

Ni kweli Samia ana UTU, na watanzania wote tuliuona kupitia Jeshi la Polisi. UTU wake tumuachie mwenyewe.

Be a Man.
 
Punguza jazba mkuu, acha uhaini. Soma vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…