THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa kutumia mgongo wa maandamano ya amani.
Kila mwenye akili timamu ni rahisi kabisa kubaini kuwa ukiacha hao wanaojiita wanaharakati walio nje ya nchi watu wengine ambao wapo nyuma ya fujo hizo ni chadema.
Chadema na viongozi wao baada ya kubaini kwamba wameshindwa kuzuia uchaguzi njia pekee waliyoiona muafaka kwao ni kufanya fujo na kutengeneza uchochezi wa uvunjifu wa amani na hatimae umwagaji damu ili wapate kigezo cha kutamba nacho kwa jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa vurugu na wao wamegomea kushiriki.
Niwape pongezi sana serikali kwa kutangaza huo mpango wa kuwakamata hawa vinara wa hizi fujo,ushahidi ukikamilika msiwe na kigugumizi wa kuwapa mvua za miaka mingi hawa vichaa na ikibidi hata vitanzi kwa kuhamasisha uhaini nchini.