Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

Hayo yote uliyoandika sijakuuliza.

Nakuuliza tena swali langu hao watu pichani mmewakamata tayari?
Unakamataje wazee wa kazi walioshikisha adabu hao vibaka...?

Una akili kweli,zinachaji?
 
Watundikwe tu, nchi yetu ibaki na wachapa kazi, hawa wazembe hawana faida kwenye nchi yetu.
Walidhani kwa kuegemea kwao kwenye fix ya kufanya maandamano na kujiingiza kwenye uhalifu na uharibifu wa miundombinu basi serikali iwachekee,hakuna kucheka na ngedere yeyote.
 
Vichwa kama hivi ndiyo vinamshauri mama yao

Sasa ukitakaje,utoke ukavunje bank huku unasingizia maandamano kisha askari mwenye jukumu la lindo akuache?

Unakula chuma za makalio tuh
 
Friends and Our Enemies...

La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...

Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa kutumia mgongo wa maandamano ya amani.

Kila mwenye akili timamu ni rahisi kabisa kubaini kuwa ukiacha hao wanaojiita wanaharakati walio nje ya nchi watu wengine ambao wapo nyuma ya fujo hizo ni chadema.

Chadema na viongozi wao baada ya kubaini kwamba wameshindwa kuzuia uchaguzi njia pekee waliyoiona muafaka kwao ni kufanya fujo na kutengeneza uchochezi wa uvunjifu wa amani na hatimae umwagaji damu ili wapate kigezo cha kutamba nacho kwa jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa vurugu na wao wamegomea kushiriki.

Niwape pongezi sana serikali kwa kutangaza huo mpango wa kuwakamata hawa vinara wa hizi fujo,ushahidi ukikamilika msiwe na kigugumizi wa kuwapa mvua za miaka mingi hawa vichaa na ikibidi hata vitanzi kwa kuhamasisha uhaini nchini.
SAYNGAY
 
Mnakuwa kama ma.fala.

Mnahamasishwa muandamane kufanya fujo kisha anaewapa jeuri yeye mwenyewe anawaangalia mnapokula chuma kisha anachukua picha zenu mkimwagwa damu anashare duniani na kuandika kauli za kutia huruma,why asingekuja na yeye kuungana na nyinyi
 
Ufanyike msako mkali moto uwe mkali kwelikweli , bila hivyo hawa Nyumbu wataisha maana nyumbu hawana matumizi na akili zao , wanashikiwa akili na hao wachochezi ambao kwenye vurugu wanazohamasisha wao wahamasishaji hawatokei.
 
Maandamano yamewauma sana, hamkutarajia yaani.
Ofcourse yes,wengine yametuumiza

Wase.nge wanasema wanaandamana kumbe wana plan ya kuiba mali za watu na matokeo yake wanakimbia wanajichanganya na wasio husika maafa yanawakutq hadi wengine wasio na hatia..

Serikali ikamate wote hawa ma.fala vinara wa uhamasishaji
 
Wewe uliibiwa chupi ngapi?
 
Ufanyike msako mkali moto uwe mkali kwelikweli , bila hivyo hawa Nyumbu wataisha maana nyumbu hawana matumizi na akili zao , wanashikiwa akili na hao wachochezi ambao kwenye vurugu wanazohamasisha wao wahamasishaji hawatokei.
Kabisa,wanahamasisha fujo wenyewe wamelala na bwana zao watoto wasio jitambua wanavutwa tuh kwenye ishu wasio zijua
 
Back
Top Bottom