THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
vitanzi muhimuFriends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa kutumia mgongo wa maandamano ya amani.
Kila mwenye akili timamu ni rahisi kabisa kubaini kuwa ukiacha hao wanaojiita wanaharakati walio nje ya nchi watu wengine ambao wapo nyuma ya fujo hizo ni chadema.
Chadema na viongozi wao baada ya kubaini kwamba wameshindwa kuzuia uchaguzi njia pekee waliyoiona muafaka kwao ni kufanya fujo na kutengeneza uchochezi wa uvunjifu wa amani na hatimae umwagaji damu ili wapate kigezo cha kutamba nacho kwa jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa vurugu na wao wamegomea kushiriki.
Niwape pongezi sana serikali kwa kutangaza huo mpango wa kuwakamata hawa vinara wa hizi fujo,ushahidi ukikamilika msiwe na kigugumizi wa kuwapa mvua za miaka mingi hawa vichaa na ikibidi hata vitanzi kwa kuhamasisha uhaini nchini.
Friends and Our Enemies...

umeona kabisa kwa macho yako,askari polisi ana silaha ya moto na yupo lindo analinda BANK,wewe unatoka zako huko na alosto zako za wanzuki unasema unaandamana kisha unasogea kuvunja ATM za bank,akikulamba shaba ma.ta.ko unamlalamikia nani sasa..Na wale walioua watu bila hatia wapandishwe vyeo?
Kwahiyo wote waliouwawa walikuwa wanavamia bank na akili zako matopeumeona kabisa kwa macho yako,askari polisi ana silaha ya moto na yupo lindo analinda BANK,wewe unatoka zako huko na alosto zako za wanzuki unasema unaandamana kisha unasogea kuvunja ATM za bank,akikulamba shaba ma.ta.ko unamlalamikia nani sasa..
Unakula chuma tuh
Unadhani kama hii nguvu ingetumika kuwasaka wasiojulikana wangekua hawajapatikana mpaka leo?Friends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa kutumia mgongo wa maandamano ya amani.
Kila mwenye akili timamu ni rahisi kabisa kubaini kuwa ukiacha hao wanaojiita wanaharakati walio nje ya nchi watu wengine ambao wapo nyuma ya fujo hizo ni chadema.
Chadema na viongozi wao baada ya kubaini kwamba wameshindwa kuzuia uchaguzi njia pekee waliyoiona muafaka kwao ni kufanya fujo na kutengeneza uchochezi wa uvunjifu wa amani na hatimae umwagaji damu ili wapate kigezo cha kutamba nacho kwa jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa vurugu na wao wamegomea kushiriki.
Niwape pongezi sana serikali kwa kutangaza huo mpango wa kuwakamata hawa vinara wa hizi fujo,ushahidi ukikamilika msiwe na kigugumizi wa kuwapa mvua za miaka mingi hawa vichaa na ikibidi hata vitanzi kwa kuhamasisha uhaini nchini.
Kabisa,mafala wanatoka zao na njaa zao wanasema wanaandama kisha wanaenda kuvunja shoppers plaza na kuiba mali,wakipewa chuma wanalalamika,wakitaka waachwe ili iweje?vitanzi muhimu
Kalia dole hiloDawa ya wezi na vichaa wasio sikia ni kuwalambisha chuma tuh
Si mmeanza kuhamasishana tena na kujipanga tena mitandaoni kuja na comeback??Hawa mmewakamata tayari?
View attachment 3499016

Watundikwe tu, nchi yetu ibaki na wachapa kazi, hawa wazembe hawana faida kwenye nchi yetu.Kabisa,mafala wanatoka zao na njaa zao wanasema wanaandama kisha wanaenda kuvunja shoppers plaza na kuiba mali,wakipewa chuma wanalalamika,wakitaka waachwe ili iweje?
Hayo yote uliyoandika sijakuuliza.Si mmeanza kuhamasishana tena na kujipanga tena mitandaoni kuja na comeback??
Fanyeni faster mje tuone nani atapoteza clean sheet,mtakutana nao vichaa wenzenu hao wanawasu
Wananchi waliondama kuiba mali na kufanya uhalifu saa tano asbh hata kabla matokeo hayajatangazwa sio waandamaji,wale ni vibaka kama vibaka wengine...na dawa ya kibaka ni chuma tuhSasa wewe unatetea waliofanya uhaini dhidi ya Jamhuri kwa kujitangaza ushindi wa kura kwa 98% kitu ambacho ni uongo na badala yake unawalaani wananchi walioandamana kupinga uchafuzi?
We huogopi.?Kalia dole hilo
View attachment 3499019