THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
-
- #21
Unakamataje wazee wa kazi walioshikisha adabu hao vibaka...?Hayo yote uliyoandika sijakuuliza.
Nakuuliza tena swali langu hao watu pichani mmewakamata tayari?
Wazee wa kazi ipi?Unakamataje wazee wa kazi walioshikisha adabu hao vibaka...?
Zangu zinachaji vipi zako zinachaji kama zangu??Una akili kweli,zinachaji?
Vichwa kama hivi ndiyo vinamshauri mama yaoHakuna kucheka na kima yoyote,kamata weka ndani
Walidhani kwa kuegemea kwao kwenye fix ya kufanya maandamano na kujiingiza kwenye uhalifu na uharibifu wa miundombinu basi serikali iwachekee,hakuna kucheka na ngedere yeyote.Watundikwe tu, nchi yetu ibaki na wachapa kazi, hawa wazembe hawana faida kwenye nchi yetu.
Vichwa kama hivi ndiyo vinamshauri mama yao
December kote huko,nyinyi jipangeni hata sasa,why mngojee had December.??Save the date... December hapo tu sio mbali 4
SAYNGAYFriends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa kutumia mgongo wa maandamano ya amani.
Kila mwenye akili timamu ni rahisi kabisa kubaini kuwa ukiacha hao wanaojiita wanaharakati walio nje ya nchi watu wengine ambao wapo nyuma ya fujo hizo ni chadema.
Chadema na viongozi wao baada ya kubaini kwamba wameshindwa kuzuia uchaguzi njia pekee waliyoiona muafaka kwao ni kufanya fujo na kutengeneza uchochezi wa uvunjifu wa amani na hatimae umwagaji damu ili wapate kigezo cha kutamba nacho kwa jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa vurugu na wao wamegomea kushiriki.
Niwape pongezi sana serikali kwa kutangaza huo mpango wa kuwakamata hawa vinara wa hizi fujo,ushahidi ukikamilika msiwe na kigugumizi wa kuwapa mvua za miaka mingi hawa vichaa na ikibidi hata vitanzi kwa kuhamasisha uhaini nchini.
Mnakuwa kama ma.fala.SAYNGAY
Ofcourse yes,wengine yametuumizaMaandamano yamewauma sana, hamkutarajia yaani.
Ofcourse yes,wengine yametuumiza
Wase.nge wanasema wanaandamana kumbe wana plan ya kuiba mali za watu na matokeo yake wanakimbia wanajichanganya na wasio husika maafa yanawakutq hadi wengine wasio na hatia..
Serikali ikamate wote hawa ma.fala vinara wa uhamasishaji
Kabisa,wanahamasisha fujo wenyewe wamelala na bwana zao watoto wasio jitambua wanavutwa tuh kwenye ishu wasio zijuaUfanyike msako mkali moto uwe mkali kwelikweli , bila hivyo hawa Nyumbu wataisha maana nyumbu hawana matumizi na akili zao , wanashikiwa akili na hao wachochezi ambao kwenye vurugu wanazohamasisha wao wahamasishaji hawatokei.
Mimi nilliibiwa wewe demu wangu,nimekutafuta hadi nimeamua kukata tamaa uendelee tuh na hao vichaaWewe uliibiwa chupi ngapi?