Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Afadhali mkuu umetujuza wananchi wako kiasi kikubwa hongera kiongozi umetufungua masikio huku Nangwanda sijaona tunaona kweli mali zinalindwa kumbe ni hao jamaa safi enzi zilizopita sijui ilikuaje
 
[emoji15] [emoji15] mkuu mbona unatia aibu Mara TISS kumlinda rais mala bwawa la rufiji mala megawati 2100 hueleweki nn hasa ulilenga kudadavua au kukisifu kati ya hivyo....humu sio facebook mkuu[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…