Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Gesi tuliambiwa itakua suluhu,leo HEP rufiji,je hauwez kuwa White elephat Project?

Maana hata mradi wa Kihansi mie sioni tija yake na umegharimu pesa sana
 
Usalama wa Taifa na Ulinzi wa Rais.

Ukifuga kuku wa mayai(Layer) lengo ni kupata mayai lakini utapata na mbolea na akizeeka, wa mjini watamuita kuku wa kienyeji
 
TISS wangefanya kazi nzuri huko huko Rufiji watu wasingeuawa kama kuku wewe.
 
Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vinesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi watanzania wamegeuzwa kuwa mazezeta wa kiwango hiki-vichwa vya treni visijulikane ni vya nani?
 
Reactions: SDG
Police nimewakubali sana
hasa wale walio vaa helmet nyeusi
 
TISS wangefanya kazi nzuri huko huko Rufiji watu wasingeuawa kama kuku wewe.
Sisi walei wa mambo hayo ya kiusalama hutujui what is happening behind the curtens. Tunaishia kuropoka tu. Vyomba vya ulinzi vipo kazini. Matunda yanaonekana. Amani inarejea. Sasa wewe ulitaka iweje? Tuwaombee vijana wetu wa TISS.
 
Hiv ummeme wa gas ndio bas yena? Mana ndio kingekua kipaumbele kwa taifa
 
Reactions: SDG
Woga tu ule hamna lolote
 
Reactions: Pep
Kwani TISS ndo huwa ni walinzi wa rais?

Hili suala ni mnasadiki tu au mnalijua kwa uhakika?
 
Reactions: Pep
Sisi walei wa mambo hayo ya kiusalama hutujui what is happening behind the curtens. Tunaishia kuropoka tu. Vyomba vya ulinzi vipo kazini. Matunda yanaonekana. Amani inarejea. Sasa wewe ulitaka iweje? Tuwaombee vijana wetu wa TISS.
Vyovyote utakavyosema, Usalama wa Taifa una jukumu la kulinda usalama wa raia.

Na huko Kibiti, washenzi wameua watu kama kuku, si mara moja au mbili.

Kifupi ni kwamba, chochote utakachosema, Usalama wa Taifa imeshindwa kazi yake huko.

Lolote utakalolijua au usilolijua haliwezi kubadilisha ukweli huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…